mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
- Thread starter
-
- #181
Umeongea kifupi na kwa ufasaha,safi sana mkuuWenyewe huwa wana kamsemo kao "Ng'ombe wa nini wakati nina maziwa" au kama wanavyosema wenyewe.
Ila siwafichi miongoni mwa vipimo vya awali kabisa vya mtu kuwa na akili timamu aisee ni KUOA. kisha kuanzia hapo vinafata vipimo vingine vya Akili.
Mkuu ukae ukijua tuliooa ndiyo tunaowaamulieni mambo mengi katika jamii na ndio tunauongoza ulimwenguMfano wako uko biased upo biased ,so nimekwambia compare makundi mawili kwa wenye same level /potential /cohort....Let's say with the same age+education etc etc na u difine hayo maendeleo ni yapi yaan tutatumia variable gani kupima maendelo,ili tufanye analysis at a time flani let's say 5 years kujua kama kuoa kunachelewesha au kuwahisha maendeleo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] so kama huna hela unaishije?Umemlza mkuu hata kwepa lakin ndo main point aliyomuacha jamaa ndomaana mm citongoz demu Kama Sina hela..
Mwanaume bora huunda familia bora,familia bora huzaa jamii bora,jamii bora hujenga taifa imaraUpo sahihi, Kulazimishwa Kuoa au kuolewa sio lazima mpaka uwe umepewa vitisho au Zile ndoa za mikeka, hapana.. Jamii inamchukulia mtu ambae umri umesogea kiasi,Mwenye Maisha ya Kati ama ya kawaida, ambae hajaoa au kuolewa Kama mtu flani hivi ambae huenda ana mapungufu au kuna Jambo halikosawa na kusahau kuwa kiuhalisia hakuna namna moja sahihi ya kuishi hapa Duniani.
Sio lazima Ndoa.. naamini kujizuia inawezekana na Kuna Mambo Mengine mengi mazuri ya kufanya hata zaidi ya Hilo linalohusu ndoa .. Kama ukiwa umepata Hisia za mapenzi juu ya mtu na ukaona Ni vyema ukimuoa ili umuweke karibu sawa!!
Ila Kama hujapata au umeona single ndo mpango then just dont think about it, be it!
Kutaman wake au waume wa watu na Tabia zingine zinazohusiana na Ngono inategemea Kati ya mtu na mtu, hata walioko kwenye ndoa wengine sio waamanifu.. Na sio kila mwanaume anawadharau hao unaowaita SINGLE Mother's, Kila mtu akiishi Kama unavyoona kwake ni sawa mradi haimdhuru mtu mwingine Basi Maamuzi yake yaheshimiwe!!
Sasa hapo ndio pakudhihirisha uanaume,ili hiyo dharau na usumbufu visiwepo bali upendo utawaleKijana kuoa bila kuwa na kipato cha uhakika uwe tayari kukubali usumbufu na dharau
[emoji3516]Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John, Rashid nk.
Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi sio kabisa na majibu mengine kemkem
Lakini haohao ndio utasikia wanazengea shemeji zao(wake zetu tuliooa)kama sio mama zao.Mtu akija humu na uzi kala jimama/mke wa mtu basi ujue tayari washatuibia wake zetu
Na ndio hawa hawa wanaharibu binti zetu kisha kuwaita 'single mother'
Kujihalishia ujinga wao wamejipa jina baharia,
Kutokana na ujinga wa kutotaka kuoa ndio maana
~mnajikuta mnavaa suruali za dada zenu.
-mnajichubua
-vyumbani kwenu kuna dressing table zilizotapakaa poda lotion,injofesi na mazagazaga ya dada zenu
-mnavua nguo zote mnapopaka mafuta na mnapaka mwili mzima ulisikia wapi
-meseji zenu kwenye simu ni kama hao dada zenu zimejaa 'x' na 'c'
-mnasababisha vijana wa jinsia tofauti waongezeke kujiuza au kututaka sisi kaka zenu ili watuvunjie ndoa zetu
-nyinyi wenye kuwa mashoga au kuolewa mimama iliyoshindikana na kupelekea kupewa nuksi au maradhi
OMBI:Kuepukana na hayo muoe kwani ili uwe mwanaume halisi ni lazima uoe,na utakuwa bora zaidi huyo utakayemuoa uzeeke naye pamoja na shurba zote atakazokupa
-Oa ili utengeneze msingi bora wa familia na taifa
-Usimsikilize yeyete atakayekuambia ndoa ngumu sijui nini,huyo hataki wewe uje ufaidi tunayofaidi sisi huku
JIULIZE: Kwa nini baadhi ya vyeo ni mpaka uwe umeoa? ukipata jibu na ndio lengo la uzi wangu
2025 nagombea mimi mkuu kura yako nitaihitaji[emoji3516]
CHAGUA CHAUMMA ILI UPATE MLO WENYE LISHE BORA KWA AFYA YA MWILI NA AKILI!!!
KAMWE USIFANYE MAKOSA MWAKA HUU MWEZI WA KUMI!!!
Yaani kaka hii dozi unayowapatia! watapona tu.Mpaka hapa dawa imeshaanza kufanya kaziSiai wengine malengo yetu ni kupata watoto wengi wakiwa na nasaba kamili, ndiyo maana tulioa mapema.
Wangapi hawana wake na hawajafikia malengo ? Hivi mnayafasiri vipi haya maisha ? Na wangapi tumeoa tumeshayafikia malengo yetu ?
Maisha ni mipango Mkuu kila la kheri.Hapana mkuu,angalia majukumu ya mwanamke.
-akupikie
akufulie
ahakikishe mazingira yapo safi
mnafurahia sex wote lakini mimba anahangaika naye yeye
Hapohapo mnasaidiana kuongeza kipato
Kipindi upo sehemu na marafiki(bar)ye yupo anatunza watoto
Uzuri mwanamke akibaini kwamba we si mwanaume,kwamba huwezi kutengeneza familia ndio anakufanyia kama huyo ulomtolea mfano
HAPA dawa ni kuoa tu.
Mwanaume bora huunda familia bora,familia bora huzaa jamii bora,jamii bora hujenga taifa imara
OA tu kijana usitafute visingizio hapa
KUOA hakuzuii mipango mingine kufanyika mkuuMaisha ni mipango Mkuu kila la kheri.
Daaah! ila bado unarukaruka mulemule tu mkuu,taifa lenye kujituma linatokana na jamii iliyoandaliwa vizuri ambayo ni zao la familia zilizoandaliwa vizuri.Mwanaume Bora Ni yule anaefanya michongo yake Halali bila kupangiwa na mtu, mfumo ama Jamii inayomzunguka.. Kuoa oa sio sifa Mkuu we Kama umekutana na wa type yako fresh.. Ila Kama umekutana na kimeo usiwadumbukize na wenzio.. Kama inakuuma Sana Mimi kutokuoa njoo tu Nikuoe wewe ili Nafsi yako itulie.
Acheni kuwapa presha wenzenu kwa mambo yasiokua na msingi, taifa Bora linatengenezwa kwa watu kujituma na kuwa wabunifu kutatua changamoto zinawazunguka, sio kukalia Mambo yasiyokua na msingii kiiivo!
Acha kuwaza Ngono tu masaa yote.. unafeli!
Halafu utambue hakuna mchongo wa halali utakaofanya ambao hutapangiwa na jamii iliyokuzungukaMwanaume Bora Ni yule anaefanya michongo yake Halali bila kupangiwa na mtu, mfumo ama Jamii inayomzunguka.. Kuoa oa sio sifa Mkuu we Kama umekutana na wa type yako fresh.. Ila Kama umekutana na kimeo usiwadumbukize na wenzio.. Kama inakuuma Sana Mimi kutokuoa njoo tu Nikuoe wewe ili Nafsi yako itulie.
Acheni kuwapa presha wenzenu kwa mambo yasiokua na msingi, taifa Bora linatengenezwa kwa watu kujituma na kuwa wabunifu kutatua changamoto zinawazunguka, sio kukalia Mambo yasiyokua na msingii kiiivo!
Acha kuwaza Ngono tu masaa yote.. unafeli!
Kumbe hukuelewa nilichokiandika. Jaribu kusoma tena kwa umakini, utaelewa.Mfano wako uko biased upo biased ,so nimekwambia compare makundi mawili kwa wenye same level /potential /cohort....Let's say with the same age+education etc etc na u difine hayo maendeleo ni yapi yaan tutatumia variable gani kupima maendelo,ili tufanye analysis at a time flani let's say 5 years kujua kama kuoa kunachelewesha au kuwahisha maendeleo
Hawa ni wazinzi, wajinga, wazandiki na wanakimbia majukumu na kupenda mtitiri/Mterezi/Slope.Yaani kaka hii dozi unayowapatia! watapona tu.Mpaka hapa dawa imeshaanza kufanya kazi
Kuzalishwa ovyo ovyo ndiyo nini?Kwa hiyo we binti yako akizalishwa hovyohovyo utaona sawa tu au kijana wako wa jinsia ya kiume awe anajaza mimba hovyohovyo utaona sawa tu?
(assume umeoa na una watoto)
Mkuu yaani kama ni maharage sasa ndio yanapasuka karibia yanaiva na utaiva tu
Unadhani mwanamke hawezi kufanya kitu anachoona kinafaa bila kukwaza wengine?utatofautiana naye vipi?
HEBU watazame jogoo au ng'ombe,utatofautiana nao vipi kama we huoi na kutengeneza familia
AU we unadhani Gadafi alikuwa mjinga kusapoti vijana kuoa
AU viongozi wa dini unadhani wamerukwa na akili kuhimiza vijana kuoa
Brother tuliza akili(najua unazo kutokana na jinsi unajibu) ila tu umepotoshwa na kutishiwa kuhusu kuoa
Na ndipo unapopoteza sifa ya uanaume kwa unapotosheka na kutishika kirahisi
OA tu kijana hofu,presha zitakwisha
We ndo hujanielewaKumbe hukuelewa nilichokiandika. Jaribu kusoma tena kwa umakini, utaelewa.
Poa.We ndo hujanielewa
nina vyotehivyo na sijao, tena naeza nikawa nimekupita kwa mafanikio hivi tukiweka kwa USD una networth ya ngapi?maaanaNilishajibu swali hili,tunafaidi upendo wa dhati kutoka kwa mke na watoto,tunaheshimika katika jamii na kwa kiasi kikubwa sisi ndio tunatoa maamuzi katika jamii kupitia vikao mbalimbali vya mitaa, mashuleni etc
Na kwa kiasi kikubwa sisi ndio wenye maendeleo.Sisi ndio wamiliki wa magari,biashara kubwa,
Sisi ndio wenye vyeo makazi
Lakini sisi ndio mababa wenye nyumba na magesti ambayo tunawapangishieni na ndio mnatumia kujaziana mimba bila mpangilio
HAPANA siwezi kuvumilia OENI TU
kikubwa nilichoona hapo wewe ni muongo kwanza umeongelea vikao vya mitaa kwa hapo tu nimejua level yako haufai kuwekwa kwenye wenye mafanikio, pili umenitajia liabilities nyingi ambazo hazina faida yeyote kwa wenye mafanikio .Nilishajibu swali hili,tunafaidi upendo wa dhati kutoka kwa mke na watoto,tunaheshimika katika jamii na kwa kiasi kikubwa sisi ndio tunatoa maamuzi katika jamii kupitia vikao mbalimbali vya mitaa, mashuleni etc
Na kwa kiasi kikubwa sisi ndio wenye maendeleo.Sisi ndio wamiliki wa magari,biashara kubwa,
Sisi ndio wenye vyeo makazi
Lakini sisi ndio mababa wenye nyumba na magesti ambayo tunawapangishieni na ndio mnatumia kujaziana mimba bila mpangilio
HAPANA siwezi kuvumilia OENI TU