Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Umenena vema mkuu.

Waendelee kula maisha siku wakioa ndio watakuwa wanaume halisi.
 
mkuu ndoa yako ina miaka mingapi ?, maana mnaanzaga hivyo hivyo ..
 
Mkuu yamejikita kwenye dini na mi s4i
Mkuu maswali yamejikita kwenye maandiko,nitashindwa kuyajibu.Ila kuna wabobezi wa theolojia humu wanisaidie,ila kuna andiko linasema 'mfurahie mke wa ujana wako'
Kama haitoshi tunasikia kila siku viongozi wa dini mashekhe,mapadri na wachungaji wakihimiza vijana.Hata mama Rwakatare alisisitizia hili
 
Mkuu wengine tumeoa na mambo yakazidishiwa baraka..maneno yako yatazidi kuwaharibu
 
Ukioa ndo unapata Baraka. Unaweza fanya yote hayo kirahisi na kifanisi ukiwa ndani ya ndoa.
 
Ukioa ndo unapata Baraka. Unaweza fanya yote hayo kirahisi na kifanisi ukiwa ndani ya ndoa.
Waeleze kaka,wanaaminishana upuuzi.Kama kula bata hawatupiti tuliooa,kutafuta ndio usiseme
 
Hakikisha una hela kama bwawa la Mtera kabla hujahangaika na ndoa.
Woga wako tu,mimi mafanikio nimepata baada ya kuoa
Hahaahhaaaa

Huu uzi mnaitwa vijana wote msioa mkutane hapa kaka yenu hataki kuendelee kugongewa mke wake,oeni na nyie mtulie na wake zenu[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Mkuu tukiinua tu mguu kwenda kujenga taifa unapishana na vijana wamevaa nguo za dada zao wanaelekea mtaani kwetu kuwazengea binti zetu ama wake zetu,wanakera sana
 
Woga wako tu,mimi mafanikio nimepata baada ya kuoa

Mkuu tukiinua tu mguu kwenda kujenga taifa unapishana na vijana wamevaa nguo za dada zao wanaelekea mtaani kwetu kuwazengea binti zetu ama wake zetu,wanakera sana
Baada ya kuoa eeh, we ulipata mke mzee!
 
Sawa umesomeka, tutaoa tukipata wakuoa.
 
Duh kuingia kwenye ndoa kipindi hiki ni kuingia kifoni..
1. Kuna Dada humu amebadilisha ID (Pisikali) anasema ana miaka 14 kwenye ndoa, halafu kaja kumsifia mchepuko wake anandinya kuliko mumewe.
Yaani anakitukana kitandani cha mumewe kwasababu ya mngoni..!!!

2. Kuna mtu humu kaleta uzi "rafiki yake kajua mumewe ana watoto wa 3 wa nje"
Yaani kwenye ndoa SIRI KAMA ZOTE.

3. Huku kitaa Kuna mwamba kakondaa kisa mkewe analiwa na bosi wake.
Isitoshe jamaa alitumbuliwa vyeti feki, hivyo mkewe ndio kawa main family income player. ANAYOPITIA HUYU JAMAA KWASASA, NDOA NI BALAAA.

4. Kuna mwamba alileta uzi, mjomba ake alioa single mother.
Jamaa akayumba kiuchumi "eti single mother kakimbia nyumba"
Hiyo ndio ndoa.

5. Nina Dada angu (family friend) Kila siku analeta matatizo home juu ya mumewe; mara malaya, mara mlevi, mara katumia hela za mipango ya familia hivyo, mara.....
Huyu Dada alikua na zinga la duka mtoni mtongani.
Mumewe kalifilisi loteeee.
NDOA HIZOOO
angekua single nadhani angekuwa tajiri mkubwa sanaa... Maana lilikuwa bongee la duka

6. VISA NI VINGI AISEE.
NDOA HAZIELEWEKI.

Single is free of stress.

#YNWA
 
Hili nawaambia mara nyingi mkuu. Kuoa au kuolewa sio lazima. Isitoshe kuoa kwa siku hizi ni kama fashion tu sio kwamba watu wamekuwa wamependana,na ndio maana ndoa hazidumu. Kwanza kuoa ni kujitafutia kifo cha mapema kwa strees
Mwanaume amezaliwa kiongozi hivyo yako ikiwa fasheni inabidi uvae uanaume wako,onyesha njia mkeo atafuata hata kama mkeo ni waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…