Angetaka kujua angejua tu.Sasa huyu jamaa anaeropoka kuhusu Warioba hapa ataelewaje wakati wakati huo hata mama yake alikuwa hajui kuoga akavutia wanaume ili atunge mimba yake?
Hii ni hatari kutokuwa na heshima kwa wazee wetu waoheshimika.
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.
View attachment 3170507
Mzee ana madini, anazeeka na madini yakeAngetaka kujua angejua tu.
Warioba kaongea kwenye uzinduzi wa kitabu cha Sokoine. Huwa anapenda sana kukumbushia historia.
Na kwenye vitabu vya Nyerere vike vitatu wameandika Warioba alivyosimamia sheria mpaka kumkatalia Nyerere mambo yake aliyoyataka nje ya sheria.
Tatizo Yona hataki kusoma wala kusikia, ana ajenda yake.
Angetaka kujua angejua tu.
Warioba kaongea kwenye uzinduzi wa kitabu cha Sokoine. Huwa anapenda sana kukumbushia historia.
Na kwenye vitabu vya Nyerere vile vitatu wameandika Warioba alivyosimamia sheria mpaka kumkatalia Nyerere mambo yake aliyoyataka nje ya sheria.
Tatizo Yona hataki kusoma wala kusikia, ana ajenda yake.
Hao chawa ama wanajipendekeza ama wanafuata maagizo kutoka juu...Mama anapenda kumfuatilia Bwana Yona.
..hata katika hotuba yake kwa Polisi Mama alifanya reference kuhusu matamko ya Yona.
..kwa maoni yangu Yona ni zao la uongozi mbovu wa juu kabisa ktk taifa letu.
Acha uongoIla kweli, halafu warioba ndio alikuwa anawa snitch akina Kambona na wenzake
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ulikuwa huru na haki.
View attachment 3170507
Umeiweka kwa usahihi kabisa. Tunasubiri fainali mwakani. Patakuwa patamu hapo. Kuna timu zingine zitaogopa kuingia ulingoni. Tunamshauri Mh. Freeman Mbowe amushawishi Jaji Warioba awe mgombea wao kwenye kinyang'anyio cha nafasi ya uraisi kama alivyofanya kwa Lowasa. Tunajua Tundu Lissu atanuna kama alivyonuna Dr Willbroad Slaa kipindi kile cha Lowasa. Akifanya hivyo chadema itarejesha nguvu zake kwa kupata wabunge wengi cha 25% na ruzuku kuongezeka. Achaneni na Tundu Lissu atakiua chama