Father hata mimi nina wazo hilo watu wanapolombana lodge hunena dua njema.Kwangu Mimi lodge ni nzuri zaidi ukipatia location tofauti na nyumba za makazi!
mkuu unalitendea haki sana jukwaa letu lile pongezi nyingi kwako.Aisee.
Mkuu vyote vinaenda sambamba hivyo,kila kimoja kina umuhimu wake kwa wakati wake!, sema kuwa na nyumba ni vizuri sana kuliko gari
😁Father hata mimi nina wazo hilo watu wanapolombana lodge hunena dua njema.
Just Google 'small house plans'View attachment 3517230
Tuwekee na ramani za hizo nyumba sasa.