Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

Nafuatilia mjadala kwa ukaribu sana, Mungu awabariki kwa michango yenu na muanzisha mada
 
Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi Kama huu unachagua sehemu ya kwenda vacation na huna stress.
Uzi tayari.
NB: Uzi huu nawashauri vijana. Vijana wanaopata pesa nyingi mara nyingi wanatumia hela zao wakifikiri maisha yataendelea hivyo milele. Wewe unaefikiri naandika kwasababu ndio nimeanza kujenga,kalaghabao
Nakazia ukitaka kula kwa ubua Jenga apartment faida ni nyingi kama unapenda utapewa na Bure na wapangaji zako hasa wake za wapangaji
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom