Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

Mkuu nyumba kadiri inavyozidi kukaa muda mrefu thamani
Mkuu unaona pale kkoo?
Kuna jamaa yng alikuwa na nyumba za urithi 2 pale mwaka 1998 waliuza nyumba zao mgao akapata 200M,
Na yeye allinunuwa nyumba kama 3 magomeni.
Juzi kauza nyumba zake 400M na 500M na 350M.,
Amenunuwa kijiji sehem na pesa Ingine anafanya mambo yake mengine.

Ninachotaka kusema ni kwamba unapouza eneo lako kwa bei ya leo,
Yule anayenunuwa baada ya miaka kadhaa eneo linapanda thamani zadi ya bei uliyouza wakati ule.

So unatakiwa unapouza unanunuwa pengine halafu balance unafanya mambo mengine ya maisha.

Hii ni code ambayo watu wengi? Wanafanya.
Wengine wananunuwa eneo Kwa lengo kwamba baada ya miaka 10 naweza shindwa kupeleka mtoto chuo,nanunuwa leo ikifika miaka ya mtoto kwnda chuo nauza nalipa ada balance nanunuwa kwengine maisha yanaenda..
Kwa mtu mwenye mtaji wa kati unaona bora ajenge apangishe aje auze
Au awe ananunua maeneo anauza na kununua maeneo mengine.
 
Kwa mtu mwenye mtaji wa kati unaona bora ajenge apangishe aje auze
Au awe ananunua maeneo anauza na kununua maeneo mengine.
Mkuu nunuwa ardhi bei chini weka.
Baada ya muda uza.
Nyumba ya kupangisha ni kuzika pesa faida kidogo.
Hii code huwezi ambiwa na mtu yeyote,
Ila kuna watu wanafanya biashara ya ardhi na wanapata faida sn tu
 
Kwa mtu mwenye mtaji wa kati unaona bora ajenge apangishe aje auze
Au awe ananunua maeneo anauza na kununua maeneo mengine.
Jenga nyumba pangisha. Hapo unetunza hela yako kwa future yako na watoto wako. Kama biashara tafuta biashara fanya hio kuuza viwanja wala sio biashara ya maana kivile. Ladba wanye kampuni wanaonunua huko nje ya mji porini wakate 20"20 wauze kiwanja 2m kwa mkopo watu wakuiipe laki laki kila mwezi.
Unafikiri kununua kiwanja sehemu ya maana mchezo,
Yaani ununue kiwanja nje ya mji 10m leo usubiri miaka 10 uuze upate 60m si afadhali ujenge wakati unasubiri.
 
Changamoto nyumba inakula pesa nyingi hadi inakamilika na urudishaji wa GHARAMA ni WA taratibu. Mfano unajenga nyumba ya kupangisha Kwa GHARAMA ya milioni25 au zaidi halafu uipangishe Kwa laki mbili Kwa mwezi?itakuchukua miaka kumi kurudisha GHARAMA ndiyo uanze kupata faida.Kama unamtaji mkubwa kama milioni 150 na kuendelea Jenga lakini kama mtaji ni mdogo wekeza biashara zingine ambazo zinazalisha faida Kwa haraka.
25M unatoa vyumba vingap kama kiwanja kipo?
 
Changamoto nyumba inakula pesa nyingi hadi inakamilika na urudishaji wa GHARAMA ni WA taratibu. Mfano unajenga nyumba ya kupangisha Kwa GHARAMA ya milioni25 au zaidi halafu uipangishe Kwa laki mbili Kwa mwezi?itakuchukua miaka kumi kurudisha GHARAMA ndiyo uanze kupata faida.Kama unamtaji mkubwa kama milioni 150 na kuendelea Jenga lakini kama mtaji ni mdogo wekeza biashara zingine ambazo zinazalisha faida Kwa haraka.
Nimesisitiza kama hela ipo. Vijana enye hela za Ziada. Maanake Wana source ya hela mfano biashara. Faida wamawekeza huku
 
Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi Kama huu unachagua sehemu ya kwenda vacation na huna stress.
Uzi tayari.
NB: Uzi huu nawashauri vijana. Vijana wanaopata pesa nyingi mara nyingi wanatumia hela zao wakifikiri maisha yataendelea hivyo milele. Wewe unaefikiri naandika kwasababu ndio nimeanza kujenga,kalaghabao.
Kalagabaho au makalao

Ahsante Fada.
 
lodge raha yakee uwe na zaidi ya moja na uwatembezee moto kweli wafanyakazi wakike wateja wanajazana mpaka unashangaa
Mpwaa huu upepo wa nyumba za mirathi kuuzwa
Naona kumepamba moto
Kila mtu anataka kufa na chake 😄

Ova
 
hivi natoka moshi mahakaman
Kuna shetwan tumrzaliwa nao wanaoomaa maliyamzee yaooo

Wameshindwa 3 times..hela moja imetoka wanagoma kusaini mapema tu.ewanyofoa mpwa akabaki kakayetu mmoja...kafungua acc tunasubiria

Wameambiwa wakitala waende bank zikiingizwa..hawana hamu
 
Mambo ya mirathi syo shuguli ndg tena kama hakuna maelewano
Kuna sehemu/familia naijuwa iko obay sshv wanaenda mwaka wa 10 mambo ya mirathi hahaha 😆
Kuna matumbo mawili
Kuna tumbo ambalo wao miaka mingi wamenufaika napo na Kuna tumbo lingine hawajanufaika napo
Basi huo mtiti si wa kitoto

Ova
 
Wekeza kwa malengo! Kwa ajili ya baadae-na kukusaidia majukumu. mfano mdogo huu kwa kijana mwenye malengo ya kuwa na familia bora
Unawekeza nyumba ya kupanga standard 2BR-gated-hukosi 300k kwa mwezi(3.6M kwa mwaka mtoto anaenda shule bora ya basi la njano).
Kodi yote utakayopokea unaihamishia kwenye ada ya mtoto--issue ya kulipa ada kwako inakuwa haipo tena kwenye hesabu zako.
Fanya hivi kwa idadi ya watoto--utaendelea kuyafurahia maisha.
Sio watoto tu--unaweza ukawekezea kwa ajili ya jambo lingine lolote.
mf
House 1-Mtoto 1
House 2-Mtoto 2
House 3-Mtoto 3
House 4-Kulea wazazi/Vacation/Matumizi ya nyumbani the list goes on.
Ukifanikisha hili --ukazitengenezea account--wewe ni mtu wa kufanya transfer tu--ada,na vitu vingine vidogo havitakusumbua pale familia inapokuwa kubwa.

For the case of mtoto--akikua --unaweza kumpa kila mtu ya kwake(legally through a family trust--->>unaandika ni kwa ajili ya wajukuu zako--hivyo itabaki ndani ya familia na haitauzika kirahisi mpaka truetees wako wote wakubaliane)--thamani inakuwa juu zaidi,na elimu umeshawapatia.
Hata kama haupo--unakuwa umeweka mzingi bora zaidi kwa familia yako na kizazi chako.
 
Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi Kama huu unachagua sehemu ya kwenda vacation na huna stress.
Uzi tayari.
NB: Uzi huu nawashauri vijana. Vijana wanaopata pesa nyingi mara nyingi wanatumia hela zao wakifikiri maisha yataendelea hivyo milele. Wewe unaefikiri naandika kwasababu ndio nimeanza kujenga,kalaghabao.
Maoni mazuri sana,mwenye sikio na atege na kusikia,Kweli inalipa!Mzee Mimi ningekuwa mgeni wa naniii!Fainali sio uzeeni tuu .
 
Ndio inalipa lakini sio kama unavyoipamba,otherwise nyumba iwe mjini kati ,
Lodge inalipa zaidi,
Mapato niliyokuwa napata kwa kupangisha kawaida kwa mwezi Sasa naingiza ndani ya week .(Laki 6 kwa mwezi ,lodge laki kwa siku lakini ni baada ya marekebisho kidogo na kununua furniture)
Location Dodoma .

Najua ni excitement za kuanza kuitwa baba mwenye nyumba lakini baada ya muda utaona ni biashara Iko slow sana kama kijana utawaza tofauti tu lazima.
Yote mawazo mazuri,cha msingi iwe nyumba!
 
Back
Top Bottom