Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

Binafsi nimemuelewa mleta mada nyumba za kupangisha kwa ajili ya uwekezaji wa kupata hela tulivu baadae ndiyo biashara nzuri,mambo ya kufatana fatana na manispaa sijui tra yanachosha sana.

Mimi ni mfanyabiashara (hizi zetu za kuunga unga hizi) but linapokuja suala la kuhamisha hela kutoka biashara A kwenda B (kwa ajili ya kujitanua zaidi kwamba ulikuwa unafanya spare parts uingie na kwenye hardware) naona ni risk kubwa kuliko kununua ardhi au kujenga nyumba za kupangisha,wengine wameshauri biashara ya nyumba za wageni but hiyo nayo inataka muda wako mwingi sana tofauti na za kupangisha unaonana na mpangaji wako mara moja moja tu.
 
We are sailing on the same boat
 
Hivi mnaposema pesa irudi,irudi kutoka wapi? Unapojenga umeiweka hela yako katika hilo jengo. Chochote unachoingiza ni faida hela yako ipo pale pale kwenye jengo na inaendelea kupanda thamani. Labda kama umekopa. Na mkopo una mahesabu yake.
Sio kama biashara ya nyanya lazima uziuze upate faida la sivyo zitaoza na mtaji kupotea.
We ni akili kubwa nimekubali, irudi kutoka wapi? Watu wanakosea sana umejenga kwa Milioni 100, 2010

We ni akili kubwa nimekubali, ni njia salama ya kuhifadh pesa yako,kama umejenga kwa M100, 2010,pesa yoyote unayopokea kuanzia hapo ni faida kwa sababu 2020 ukiuza utapata M200,pesa yako si imerud?
 
Nadhani kinachozunguzwa sio kupata faida ni muda wa kurejesha kiasi ulichowekeza
 
Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi Kama huu unachagua sehemu ya kwenda vacation na huna stress.
Uzi tayari.
NB: Uzi huu nawashauri vijana. Vijana wanaopata pesa nyingi mara nyingi wanatumia hela zao wakifikiri maisha yataendelea hivyo milele. Wewe unaefikiri naandika kwasababu ndio nimeanza kujenga,kalaghabao.
Napingana na wazo lako mkuu,
Mimi nashauri kama una pesa jikite kwenye biashara ya kununuwa ardhi.

Utakuja kunishukuru baadae.
 
Kwani ukijenga nyumba hununui ardhi? Nyumba inajengwa hewani? Anaejenga nyumba anaenda extra mile. Anaendeleza hio ardhi na kuipa thamani zaidi.
 
Nadhani kinachozunguzwa sio kupata faida ni muda wa kurejesha kiasi ulichowekeza

Ulichowekeza hakijaenda popote kipo katika hio nyumba/ardhi. Ukikutaka uza nyumba.
Ni kama mtu alieweka hela zake utt anapata interest kila mwezi. Hela yake iko pale pale anakula faida tu kama interest.
 
Ukiuza nyumba unaingia katika biashara nyingine ya kujenga na kuuza sio ya biashara upangaji tena. Biashara ya kujenga nyumba na kupangisha inakupa usalama wa mtaji wako pekee kwavile ni asset ya kudumu ila return on investment (ROI) ni ndogo sana.

Ili biashara ya nyumba ya kupanga ije ikujengee nyumba nyingine mpya ina hitaji miaka zaidi ya 3 bora jenga uza hupata return kwa muda mfupi kuliko nyumba ya kupangisha.
 
Nimekwambia uza kama unataka uwekezaji wako urusidi. Otherwise ukipangisha unapata faida ya ulichowekeza.
 
Kwani ukijenga nyumba hununui ardhi? Nyumba inajengwa hewani? Anaejenga nyumba anaenda extra mile. Anaendeleza hio ardhi na kuipa thamani zaidi.
Unajenga nyumba kwa 50M now,
Unapokea kodi kwa mwezi laki 5 ×12 kwa mwaka 6M
Ili pesa zako zirudi unatakiwa kusubiri miaka 8 au 7

Ukinunuwa viwanja 12 vya shilingi 4M ktk hyo 50M .

Baada ya miaka hyo nane utauza kila kimoja zaidi ya 10M maximum.
Je utakuwa na sh ngp?

--Ukiwa na 50M unawezapata shamba la heka 5 .
Kila heka viwanja 16.
Ukiwa na heka tano ni viwanja 80.

Ukiuza hata kwa 5M utapata sh ngp?

Kujenga hovyo ni upotevu wa pesa bila mpango.
Weka ardhi ikufae kesho tena bila jasho.
 
Unajenga nyumba 50milioni now,
Unapokea kodi kwa mwezi laki 5 ×12 kwa mwaka 6milioni.
Ili pesa zako zirudi unatakiwa kusubiri miaka 8 au 7

Ukinunuwa viwanja 12 vya shilingi 4 milioni ktk hyo 50 milioni uliyonayo.

Baada ya miaka hyo nane utauza kila kimoja zaidi ya 10 milioni.
Je utakuwa na sh ngp?

Ukiwa na 50 milioni unawezapata shamba la heka 5 .
Kila heka viwanja 16.
Ukiwa na heka tano ni viwanja 80.

Ukiuza hata kwa 5milioni utapata sh ngp?

Kujenga hovyo ni upotevu wa pesa bila mpango.
Weka ardhi ikufae kesho tena bila jasho.
Sawa.
 
Ninapoishi nilinunuwa kiwanja mita 30/30 Tsh 1,200,,000 mwaka 2007.
Leo eneo lile kiwanja mita 20/20 ni 30M.
Nilinunuwa shmba nusu heka kibaha 3.5M mwaka 2016.
Leo kiwanja cha mita 20/20 ni 5M.

Nikikata viwanja kwenye eneo langu la mita 66/33 vinatoka viwanja 4 safi.

5M ×4=20M kibindoni..
Tangu nilipogunduwa siri hii now sihangaiki kujenga..

Nanunuwa ardhi kama chizi.
Na hakuna mtu atakusanuwa zaidi ya kupindisha ukwl.
 
Mwisho wa siku, haya mambo yanategemea muunganiko kati ya personality ya mtu na falsafa yako kwenye mambo unayoyapenda kwenye maisha.

Ndo mana hapa, wewe umesema nyumba za kupanga, mwingine anasema lodge.

Mimi ukiniuliza, nitakuambia, kuliko uwekeze milioni 70 kwenye nyumba za kupanga, ni bora uwe na mini factory ya kusaga na kuuza unga kwenye jiji kama Dar es salaam lenye high demand.
 
Unajenga nyumba kwa 50M now,
Unapokea kodi kwa mwezi laki 5 ×12 kwa mwaka 6M
Ili pesa zako zirudi unatakiwa kusubiri miaka 8 au 7

Ukinunuwa viwanja 12 vya shilingi 4M ktk hyo 50M .

Baada ya miaka hyo nane utauza kila kimoja zaidi ya 10M maximum.
Je utakuwa na sh ngp?

--Ukiwa na 50M unawezapata shamba la heka 5 .
Kila heka viwanja 16.
Ukiwa na heka tano ni viwanja 80.

Ukiuza hata kwa 5M utapata sh ngp?

Kujenga hovyo ni upotevu wa pesa bila mpango.
Weka ardhi ikufae kesho tena bila jasho.
ukijenga nyumba ya 50 m kwa miaka 8 ndo utarudisha hiyo milion 50. lakini pia umesahau baada ya hiyo miaka nane ile nyumba badi utakua nayo na thamani yake itakua imeongezeka, mfano milioni 80 au 90. so baada ya miaka nane utakua umepokea kodi ya milioni hamsini na pia ukisema uuze nyumba milion 90 utakua umepata jumla milion 130. ila kama ulinunua viwanja 12 kwa milioni hamsini ukiviuza vyote utakua na milion 120. so bado nyumba itakua na thamani kuliko viwanja
 
Back
Top Bottom