Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mimi siwaelewi ndgu, malizaneni wenyewe.Kumbe mlikuwa mnapigana spana huku, halafu limekuja mbio mbio pm kunitukana 😹😹😹
Hili jamaa jinga sana. Umeliripoti nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwaelewi ndgu, malizaneni wenyewe.Kumbe mlikuwa mnapigana spana huku, halafu limekuja mbio mbio pm kunitukana 😹😹😹
Hili jamaa jinga sana. Umeliripoti nini??
Wala nimeona id imekuja kunilima mitusi huko pm ndio nafatilia nakutana na hizi mbanga zenu 😹😹😹😂😂😂😂 Jf ina mambo, just few minutes after jamaa kula ban ndo unakuja kuniattack.
Muulize aliekutag mnajuani vipi 😂😂😂, sikutegemea hili we chalii miyeyusho sana aisee.
Nyie ndio mnajuana mlikoanzia mpk kala ban halafu matusi nimekuja kupewa mimi.Mimi siwaelewi ndgu, malizaneni wenyewe.
Mambo ya multiple ID's😂😂😂😂 Jf ina mambo, just few minutes after jamaa kula ban ndo unakuja kuniattack.
Muulize aliekutag mnajuani vipi 😂😂😂, sikutegemea hili we chalii miyeyusho sana aisee.
Ndo ivo mkuu, anajitekenya na kucheka mwenyewe.Mambo ya multiple ID's
mnajuana nyinyi ndugu wa damu moja inaonekana 😀😀Nyie ndio mnajuana mlikoanzia mpk kala ban halafu matusi nimekuja kupewa mimi.
Mbaya sana hiyoNdo ivo mkuu, anajitekenya na kucheka mwenyewe.
Kijana ana akili fupi kama mkia wa mbuzi, how comes ukajifanya mwanamke aisee.
uyo jamaa anataka ududuke tu haiwezekan dume lijifanye jike 🤣Ndo ivo mkuu, anajitekenya na kucheka mwenyewe.
Kijana ana akili fupi kama mkia wa mbuzi, how comes ukajifanya mwanamke aisee.
Aiseeuyo jamaa anataka ududuke tu haiwezekan dume lijifanye jike 🤣
Hapa inakuaje, au inatokeaje?Hapo Kariakoo watu ni bidhaa yenye thamani kubwa kuliko mazagazaga mengine yote kuweni makini vijana!
upinzani bongo miyeyusho t nao.Vyama pinzani hasa hao chadema nao ni wachumia tumbo tu, wanasubiri kitu kitokee wakishupalie ati nchi haiko salama na blah blah za namna hiyo.
Kuna biashara ya watu inaendelea hapo, ni black market.Hapa inakuaje, au inatokeaje?
Najuana naye una uhakika?? Huyo hata mimi alinitukana wakamripoti, akaja na id nyingine pm kunishushia matusi kwamba nimemripoti.mnajuana nyinyi ndugu wa damu moja inaonekana 😀😀
Vishu nishakwambia mimi sio huyo mjinga naona hasira zako unataka kutafuta ligi zisizo na kichwa wala miguu.Ndo ivo mkuu, anajitekenya na kucheka mwenyewe.
Kijana ana akili fupi kama mkia wa mbuzi, how comes ukajifanya mwanamke aisee.
Hivi wewe mwanamke sijui mwanaume uko sawa kweli?Vishu nishakwambia mimi sio huyo mjinga naona hasira zako unataka kutafuta ligi zisizo na kichwa wala miguu.
Huyo kanitag sehemu nyingi, na kuna sehemu kanitukana ile comment imeripotiwa kapewa ban, kaja pm na id nyingine kunitukana.
Napitia ni member gani ndio namuona huyo mjinga mnazozana. Sasa hapo usichoelewa nini au na wewe unatafuta kiki za kishamba??
Sipendi kunihusisha na mtu mwingine, sasa unachojikomentisha kunitaja kitu gani??Hivi wewe mwanamke sijui mwanaume uko sawa kweli?
Wapi nimetafuta ligi na wewe.
Nimeshaacha kureply comments zako unaanza kuchunguza nacomment nini uje kureply sio?
Hapo nimemjibu ndgu Tyrion_Lannister au umeona nimekutagi hapo??
Na hapo nimemuongelea huyo alopigwa ban maana alisema ana id ya kike, ajabu wewe unajistukia na kusema nataka ligi na wewe.
Idiot.
Bila shaka hiyo id inayosumbua hapa tena ni yake.uyo jamaa anataka ududuke tu haiwezekan dume lijifanye jike 🤣
kabsa mkuuBila shaka hiyo id inayosumbua hapa tena ni yake.
Ni utoto na ujinga anaoufanya.
Inaboa sana jf kua na watu wa namna hiyo.
Muungwana akivuliwa nguo, huchutama.
sishadadii tatzo toka mwanzo wa mjadala mpka ulipotagiwa nlkua nasoma najua A-mpka ZNajuana naye una uhakika?? Huyo hata mimi alinitukana wakamripoti, akaja na id nyingine pm kunishushia matusi kwamba nimemripoti.
Sasa na wewe unavyoanza kushadadia unanikosea ujue