Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Unabowa sana, siyo lazima uchangie kila uzi hata usivyovijuwa.

Kariakoo kuna kijana anaitwa tajiri wa wiki mbili, aliaminika dukani watu wakamrubuni akaiba million 200.

Hizi pesa zote alizipata tajiri mwenye mali, kosa lake alifanya mawasiliano na mke wake wakamdaka, kwahiyo jamaa alimiliki million 200 za wizi kwa wiki mbili tu.

Jamaa amemsamehe na amempa million 5 za kuanzia maisha mapya nje yake tajiri yake.

Usiwe unakurupuka tu chai wakati hujui lolote.
 
Hii nayo stori ya kusadikika ,kwa kifupi na hii pia ni CHAI.
 
Duuuh kwa hio walikua na faida kwenu pia
Na ndiyo maana hata maduka ya spare used pale Kariakoo yamehamia Ilala wengine tumebadilika kuingia kwenye spea mpya kwa sababu wakati huo ilikuwa mtu akishaibiwa anaambiwa nenda Kariakoo ndiko wanakouza spare za wizi (wakimaanisha hapo kwenye mnada wa spare) na siyo kila mtu alikuwa anapajua so anajikuta ameingia Kariakoo lakini hajui aanzie wapi.

Sisi wenye maduka tulikuwa tukimkamata tunampima temper yake tukimuona mwepesi tunamuunganisha na wanaonunua vitu vya wizi vyake vikiwepo anafungiwa sisi tunakula comission na ndiyo kisa cha kufahamiana na hao niliosema wamepotezwa,alipoingia Magufuli ndiyo aliwa-push watu kufanya kazi na matokeo ndiyo hayo na leo Kariakoo maduka yote ya used yamefungwa na majuzi ule mnada ulipoungua nao ilibidi uhame lakini wanachama wake wakakomaa.
 
Kuna baadhi ya kesi huwa na mkono wa serikali japo wahusika huwa ni wale topper wa vitengo fulani ili kujisafisha wasionekane hawafanyi kazi,udhaifu wa sheria au kuwa na adhabu ndogo huwapa mtihani polisi maana nakamatwa leo nimeiba nikifika mahakamani mahakama inaniona sina hatia nikirudi mtaani naendelea kuiba so mazingira kama haya hukiweka kiti cha mtu mashakani that's why kamati ya siri huingia kazini.

Mijini kuna mambo mengi but tukiangalia mfano wale wanaopotea zaidi ya watatu na wanapiga mishe moja inayojulikana kwamba sometimes kuna ujanja ujanja hufanyika yumkini inawezekana wote wamemdhumu mtu?au wote wametembea na wake za watu then kama siyo kwanini wapotee siku moja muda mmoja kwa kuchukuliwa pamoja?
Ila za chini chini jamaa anasema anawajua
 
Back
Top Bottom