Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Yes wanapewa mali kauli wanavimba nazo, wanawekwa madukani wanaiba store,
Na kutapeli watu in the name of maduka fulani, unashangaa tu unasakwa haujui hata imekuwaje.
Mkuu emu elezea vizuri hapo umeacha ombwe kidogo umesema wanapewa Mali kauli alafu wanaweka dukani alafu wanaibia store? Sijaelewa emu tueleze vizuri
 
Duuuh crown, duka la iPhone 3, cover za Simu 10 na wauzaji 10, hii code ngumu sana inahitaji mtu mwenye GPA ya 8 Sisi tulioishia GPA ya 5 huu ni mtiti
Ana maanisha una kuta Duka zima lina simu 3 na cover za simu 15 lakini ndani kuna vijana wauzaji zaidi ya watano na wana miliki crown ..hawa wengi wapo Sinza au makumbusho..nakaribia kupewa u doctor kama alio pewa chief hangaya wa GPA ya 9
 
Elezea madogo wanazinguaje Mkuu mpaka wanapotezwa
Wanaaminiwa wanapewa mali za mamilioni wakauze walete hela. Wao wanajidai wajanja hawarudishi hela za watu.
Wengine ndio anawekwa dukani anauza mzigo wote store hela haionekani.
Waibe huku huku instagram anaiba kisimu au ki tv kimoja watu wanapotezea ukiibia madon mamilioni yao wanakutoa roho.
 
Duuuh kumbe wanawaibia madoni wa Kariakoo ebwana hio ni hatari zaidi Mkuu, kwa hio Pesa wanapeleka wapi sasa wakibanwa si watoe kwani mpaka wafe?
 
Duuuh kumbe wanawaibia madoni wa Kariakoo ebwana hio ni hatari zaidi Mkuu, kwa hio Pesa wanapeleka wapi sasa wakibanwa si watoe kwani mpaka wafe?
Wanakua washatumia...
Ujawahi pata story ya yule dogo aliyevutwa dudu ofisini kisa kucheza na pesa za watu
 
Back
Top Bottom