Pre GE2025 Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na kuinua matumaini katika mioyo ya vijana,baada ya kutoa maelfu ya ajira kwa vijana serikalini pamoja na ajira mbalimbali zilizotokana na miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa hapa Nchini.

Vijana kwa umoja wao kutoka maeneo mbalimbali nchini wameamua kuchanga hela kwa ajili ya kumchukulia Fomu ya urais mama Samia Mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika, nuru ya wanyonge,mtetezi wa vijana,simba wa nyika na komandoo wa vita.

Vijana wanafanya haya kuonyesha upendo wao mkubwa kwa Rais samia na namna wanavyomuunga mkono, kumkubali na kuendelea kuhitaji utumishi wake kwa miaka mingine tena. vijana wameguswa na kazi kubwa aliyoifanya Rais samia ndani ya Muda mfupi wa uongozi wake iliyoleta matumaini kwa mamilioni ya vijana.

Hivyo vijana wameona wasikae tu wamebweteka kusubiri kuletewa mgombea ,bali wameamua kuonyesha hisia zao na kupaza sauti zao juu ya uhitaji wao wa kuongozwa na Rais samia kwa muhula mwingine tena. vijana wanataka waweke hatima ya Taifa lao na maisha yao katika mikono Salama ya Rais samia kiongozi msafi, mnyenyekevu, mzalendo, mkalimu, msikivu na mwenye upendo.

Rais samia ndiye chaguo la watanzania, ndiye kiu ya vijana,ndiye aliyeshinda katika mioyo ya vijana.ndio jicho lao lilipotizama kwa matumaini na matarajio makubwa. Hii ndio faida ya kiongozi kugusa maisha ya watu,kuinua maisha ya watu, kuleta matumaini katikati ya kukata Tamaa pamoja na mwanga katikati ya giza.

Lazima watu wakupiganie na wakusemee ni lazima vinywa vyao vilisema na kulitaja jina lako kwa mema,ni lazima watu waziseme sifa zako na kutangaza mema yako. Sasa vijana wanamsemea Rais samia kwa yale makubwa na ya kupendeza aliyoyafanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yaliyogusa maisha ya mamilioni ya vijana hapa Nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Huchoki? Vijana wasiojielewa ndiyo pekee watakaoenda kufanya hiki kitendo. Kwa kifupj mama nchi imemshinda kuongoza. Miaka yote hii aliyokaa madarakani hakuna mradi wa kitaifa aliowahi kuuanzisha, na ile miradi aliyoikuta hakuna hata mmoja alioukamilisha.

Kazi yake kubwa ni kuzulura tu na kutoa pesa kwenye mipira lakini ameshindwa kutengeneza ajira kwa vijana. Uchumi umedolora huku rasilimali za nchi wanapewa wageni. Mpeni lakini baada ya miaka 5 mingine ndiyo mtagundua vjana hamna akili.
 
Mimi sipingi kampeni bali nawasilisha mawazo na uamuzi wa vijana wanaojiandaa kumchukulia Fomu ya Urais Rais samia muda ukifika
Hao vijana walikufuata wapi na kukuambia huu upuuzi? Rushwa kila kona, viongozi wanalalamika, raia wanalalamika na wabunge wanalalamika, yeye kimya. Huyo ndiye unaetuambia hati ni mpango wa Mungu? Huna hata aibu, mama nchi imemshinda.
 
Huchoki? Vijana wasiojielewa ndiyo pekee watakaoenda kufanya hiki kitendo. Kwa kifupj mama nchi imemshinda kuongoza. Miaka yote hii aliyokaa madarakani hakuna mradi wa kitaifa aliowahi kuuanzisha, na ile miradi aliyoikuta hakuna hata mmoja alioukamilisha.

Kazi yake kubwa ni kuzulura tu na kutoa pesa kwenye mipira lakini ameshindwa kutengeneza ajira kwa vijana. Uchumi umedolora huku rasilimali za nchi wanapewa wageni. Mpeni lakini baada ya miaka 5 mingine ndiyo mtagundua vjana hamna akili.
Wewe bila shaka siyo mtanzania maana mtanzania anaelewa kazi kubwa na ya mafanikio iliyofanywa na Rais samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.Ni Rais samia ambaye imeinua Secta ya kilimo iliyo uti wa mgongo wa Taifa letu kwa kuwekeza mabillioni ya pesa.alianza kwa kutoa Ruzuku ya billion mia moja hamsini,lakini pia amepandisha bajeti kufikia Billion mia tisa sabini.hapo sijazungumzia uwekezaji mkubwa kupitia BBT.Rais samia amefanya mapinduzi makubwa sana katika Secta ya Elimu na afya.mfano kwa sasa bajeti kwa mikopo ya elimu ya juu imefikia zaidi ya bilioni mia saba kutoka ile ya mwaka jana Billion 654,ukienda katika afya unakuta amejenga zahanati ,vituo vya afya,hospitali za wilaya, mikoa mpaka kanda.ametoa pia maelfu ya ajira kwa vijana waliokuwa wamekata tamaa kabisa
 
Hao vijana walikufuata wapi na kukuambia huu upuuzi? Rushwa kila kona, viongozi wanalalamika, raia wanalalamika na wabunge wanalalamika, yeye kimya. Huyo ndiye unaetuambia hati ni mpango wa Mungu? Huna hata aibu, mama nchi imemshinda.
Acha ujima ndugu yangu.Dunia ni kama kijiji kwa sasa. Rais samia ni mama wa Vitendo na kutekeleza mipango ya maendeleo muda wote na siyo kulalamika lalamika tu.ndio maana kwa uchapa kazi wake Taifa limepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo katika kila Secta.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na kuinua matumaini katika mioyo ya vijana,baada ya kutoa maelfu ya ajira kwa vijana serikalini pamoja na ajira mbalimbali zilizotokana na miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa hapa Nchini.

Vijana kwa umoja wao kutoka maeneo mbalimbali nchini wameamua kuchanga hela kwa ajili ya kumchukulia Fomu ya urais mama Samia Mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika, nuru ya wanyonge,mtetezi wa vijana,simba wa nyika na komandoo wa vita.

Vijana wanafanya haya kuonyesha upendo wao mkubwa kwa Rais samia na namna wanavyomuunga mkono, kumkubali na kuendelea kuhitaji utumishi wake kwa miaka mingine tena. vijana wameguswa na kazi kubwa aliyoifanya Rais samia ndani ya Muda mfupi wa uongozi wake iliyoleta matumaini kwa mamilioni ya vijana.

Hivyo vijana wameona wasikae tu wamebweteka kusubiri kuletewa mgombea ,bali wameamua kuonyesha hisia zao na kupaza sauti zao juu ya uhitaji wao wa kuongozwa na Rais samia kwa muhula mwingine tena. vijana wanataka waweke hatima ya Taifa lao na maisha yao katika mikono Salama ya Rais samia kiongozi msafi, mnyenyekevu, mzalendo, mkalimu, msikivu na mwenye upendo.

Rais samia ndiye chaguo la watanzania, ndiye kiu ya vijana,ndiye aliyeshinda katika mioyo ya vijana.ndio jicho lao lilipotizama kwa matumaini na matarajio makubwa. Hii ndio faida ya kiongozi kugusa maisha ya watu,kuinua maisha ya watu, kuleta matumaini katikati ya kukata Tamaa pamoja na mwanga katikati ya giza.

Lazima watu wakupiganie na wakusemee ni lazima vinywa vyao vilisema na kulitaja jina lako kwa mema,ni lazima watu waziseme sifa zako na kutangaza mema yako. Sasa vijana wanamsemea Rais samia kwa yale makubwa na ya kupendeza aliyoyafanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yaliyogusa maisha ya mamilioni ya vijana hapa Nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Jambo jema sana hili vijana, Ishara njema mno kwa Taifa..
Thanks Lucas mwashambwa
 
Sasa nimejifunza kuwa wewe ni miongoni mwa watu wanatumwa kuvuruga Amani ya Tanzania.
Na hauna msimamo! Akili yako haiwazi maendeleo ya nchi, inawaza uchaguzi tu. Jaribu kuwaza hata mengine umri unaenda wewe, unaowapigia kelele wanaangalia familia zao, fuatilia kila unayempigia kelele familia yake iko wapi na ina hali gani.
 
Kuboresha maisha ya familia yako ni kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa na siyo kusubiri mtu mwingine akutengenezee maisha yako wewe na familia yako.
 
sasa ivi kachangwanywa mbaya sana huyu kamanda, hajijui ni semaji la Mwenyekiti Taifa, M/Mwenyekiti, Sauti ya Watanzania, diaspora au chadema 😅 katikati hayupo pembeni hayupo
Kapoteana ile mbaya mpaka haelewi ashike wapi,maana nimeona ameanza kuokoteza habari za kina Mwabukusi yule ambaye wanambeya walimkataa yeye na maandamano yake mpaka kupelekea yeye mwenyewe kwenda kujificha vichakani na yule mhuni na mvuta bangi Mdude Nyagali.
 
Sasa nimejifunza kuwa wewe ni miongoni mwa watu wanatumwa kuvuruga Amani ya Tanzania.
Na hauna msimamo! Akili yako haiwazi maendeleo ya nchi, inawaza uchaguzi tu. Jaribu kuwaza hata mengine umri unaenda wewe, unaowapigia kelele wanaangalia familia zao, fuatilia kila unayempigia kelele familia yake iko wapi na ina hali gani.
kwahiyo na wew umeacha kufanya yako unafatilia maisha ya Lucas mwashambwa, umeacha kuwaza maendeleo yako na familia yako..

Na wew pia umri unasonga, unamfatilia sana Lucas yeye anaangalia maisha yake..

Maisha yako na Lucas ni tofauti mno..
 
Lucas ndg yangu

Rais Samia Hana kipingamizi kwa maana ni mpango wa Mungu na Chaguo lake.

Uchaguzi wa mwaka ujao kwanzia serikali za mitaa mpaka wa Urais Kila kona ni CCM

Nyumbu wa Ufipani wataweka mpira kwapani soon
Kaka yenu au mjomba wenu hakutaka shida kabisa yeye aliiba uchaguzi mazima kabisa. Naona dalili zimeanza tena.
 
Kuboresha maisha ya familia yako ni kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa na siyo kusubiri mtu mwingine akutengenezee maisha yako wewe na familia yako.
Kwa hiyo hiyo ndio juhudi ya kutengeneza maisha maisha ya familia yako? Unamaanisha hao unaowapigia kelele ndio waliokuajiri? Na hiyo ndio juhudi na maarifa unayosema?
 
kwahiyo na wew umeacha kufanya yako unafatilia maisha ya Lucas mwashambwa, umeacha kuwaza maendeleo yako na familia yako..

Na wew pia umri unasonga, unamfatilia sana Lucas yeye anaangalia maisha yake..

Maisha yako na Lucas ni tofauti mno..
Kibaya zaidi wewe unanifuatilia mimi, na mimi sikuhitaji. Usikurupuke kijana. Ndio nyie ukisikia jirani anamuonya mtoto wake unaingilia kati kitu usichokijua.
 
Kaka yenu au mjomba wenu hakutaka shida kabisa yeye aliiba uchaguzi mazima kabisa. Naona dalili zimeanza tena.
Hakuna mtu yeyote hapa nchini kutoka chama chochote kile anayeweza kumshinda mgombea wa CCM Katika nafasi ya Urais.hii Ni kwa kuwa Watanzania wanafahamu ya kuwa ili Taifa liwe na amani na salama ni lazima nchi iwe mikononi mwa CCM.hii ndio sababu kila uchaguzi ukifika watu humiminika katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuipigia kura CCM kura za ndio.
 
hiyo ni Kweli ya wazi sana
Hakuna mtu yeyote hapa nchini kutoka chama chochote kile anayeweza kumshinda mgombea wa CCM Katika nafasi ya Urais.hii Ni kwa kuwa Watanzania wanafahamu ya kuwa ili Taifa liwe na amani na salama ni lazima nchi iwe mikononi mwa CCM.hii ndio sababu kila uchaguzi ukifika watu humiminika katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuipigia kura CCM kura za ndio.
 
Kwa hiyo hiyo ndio juhudi ya kutengeneza maisha maisha ya familia yako? Unamaanisha hao unaowapigia kelele ndio waliokuajiri? Na hiyo ndio juhudi na maarifa unayosema?
Siwapigii kelele.unazifahaku kelele? Mimi naandika kuwakilisha mawazo ya mamilioni ya watanzania waliopo huko mitaani , wanaoendelea kunena kwa vinywa vyao kuwa Rais samia ndiye chaguo lao.
 
Ok! Nimekupata, sio mawazo yako wapo wanaokutuma. Hapo umesema kweli👏👏
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na kuinua matumaini katika mioyo ya vijana,baada ya kutoa maelfu ya ajira kwa vijana serikalini pamoja na ajira mbalimbali zilizotokana na miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa hapa Nchini.

Vijana kwa umoja wao kutoka maeneo mbalimbali nchini wameamua kuchanga hela kwa ajili ya kumchukulia Fomu ya urais mama Samia Mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika, nuru ya wanyonge,mtetezi wa vijana,simba wa nyika na komandoo wa vita.

Vijana wanafanya haya kuonyesha upendo wao mkubwa kwa Rais samia na namna wanavyomuunga mkono, kumkubali na kuendelea kuhitaji utumishi wake kwa miaka mingine tena. vijana wameguswa na kazi kubwa aliyoifanya Rais samia ndani ya Muda mfupi wa uongozi wake iliyoleta matumaini kwa mamilioni ya vijana.

Hivyo vijana wameona wasikae tu wamebweteka kusubiri kuletewa mgombea ,bali wameamua kuonyesha hisia zao na kupaza sauti zao juu ya uhitaji wao wa kuongozwa na Rais samia kwa muhula mwingine tena. vijana wanataka waweke hatima ya Taifa lao na maisha yao katika mikono Salama ya Rais samia kiongozi msafi, mnyenyekevu, mzalendo, mkalimu, msikivu na mwenye upendo.

Rais samia ndiye chaguo la watanzania, ndiye kiu ya vijana,ndiye aliyeshinda katika mioyo ya vijana.ndio jicho lao lilipotizama kwa matumaini na matarajio makubwa. Hii ndio faida ya kiongozi kugusa maisha ya watu,kuinua maisha ya watu, kuleta matumaini katikati ya kukata Tamaa pamoja na mwanga katikati ya giza.

Lazima watu wakupiganie na wakusemee ni lazima vinywa vyao vilisema na kulitaja jina lako kwa mema,ni lazima watu waziseme sifa zako na kutangaza mema yako. Sasa vijana wanamsemea Rais samia kwa yale makubwa na ya kupendeza aliyoyafanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yaliyogusa maisha ya mamilioni ya vijana hapa Nchini.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Vijana wepi? Hawa chawa wenye kujipendekeza kwake huku anaongoza nchi vibaya? Ni nyie wale mlikua mnashangilia mkataba wa ovyo wa bandari? Mkichukua fomu wanamapibduzi ccm watamchukulia mtu mwingine. Hamtaki tunakwenda na mpinzani.
 
Back
Top Bottom