Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Rais Samia ndio chaguo la wanaVijana wepi? Hawa chawa wenye kujipendekeza kwake huku anaongoza nchi vibaya? Ni nyie wale mlikua mnashangilia mkataba wa ovyo wa bandari? Mkichukua fomu wanamapibduzi ccm watamchukulia mtu mwingine. Hamtaki tunakwenda na mpinzani.
CCM na watanzaniaa wote kwa ujumla wao . CCM inasubiri muda tu ufike ili ikate kiu ya watanzania kwa kuwapelekea Rais Samia ambeya Ndiye anayehitajika na wengi. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Sauti ya watanzania ni Rais samia.