Pre GE2025 Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vijana wepi? Hawa chawa wenye kujipendekeza kwake huku anaongoza nchi vibaya? Ni nyie wale mlikua mnashangilia mkataba wa ovyo wa bandari? Mkichukua fomu wanamapibduzi ccm watamchukulia mtu mwingine. Hamtaki tunakwenda na mpinzani.
Rais Samia ndio chaguo la wana
CCM na watanzaniaa wote kwa ujumla wao . CCM inasubiri muda tu ufike ili ikate kiu ya watanzania kwa kuwapelekea Rais Samia ambeya Ndiye anayehitajika na wengi. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Sauti ya watanzania ni Rais samia.
 
Ok! Nimekupata, sio mawazo yako wapo wanaokutuma. Hapo umesema kweli👏👏
Naandika yale yanayosenwa na watanzania huku mitaani ambao wanaendelea kuipigia magoti CCM ili ifanye maamuzi ya haraka kuwapelekea Rais samia uchaguzi ujao,maana nje na hapo hawatawaelewa CCM.
 
mama atapita kwa 💯 sio kwamba amefanya mengi mazuri ila sisisemu ni wezi na mashetani.



kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.....Punguza kumsifia kama ni mazuri tunayaona na mabaya tunayaona pia
 
Nyie ndio vijana ambao mnatumia akili zenu zilizojaa upumbavu kulinajisi Taifa hili
Samia ana nini cha ajabu mpaka wewe kila lisaa umnadi hapa.
Nimekuchoka, nakupa siku 7 ubadilike vinginevyo nitaanza nawewe na kumaliza na huyo mungu wako
 
Hivi mnatumiaga takwimu Zipi kujumuisha watu..
"Mamilion ya Watanzania" "Vijana walio wengi"...
Yaani huwa mnanikera sana
 
Kuna mawili, ama kila kukicha unawaza uchawa au akili yako haina uwezo wa kupambanua. Vituo vya afya na zahanati nyingi hazina dawa na watumishi wa kutosha, shule wanafunzi ni wengi na hawaendani na idadi ya walimu, madawati na vyumba vya madarasa, uko kwenye kilimo sehemu kubwa ya wakulima wanategemea jembe la mkono na ng'ombe na bado chakula hakitoshelezi mbali na kuwaumiza wakulima kutokuuza mazao yao kwenye soko la nchi jirani kunakopatikana bei nzuri. Wanafunzi wanaokosa mikopo wa Elimu ya juu wameongezeka, idadi ya vijana wasio kuwa na ajira wanaongezeka.......

Kwa maana hiyo ndugu Lucas, hii ya kutuletea takwimu za kwenye makaratasi bila kuangalia hali halisi ya maisha ya watu, ni upuuzi na uchawa uliopitiliza. Kumusaidia Samia kama kweli mnapenda, mwambieni taarifa sahihi siyo kumpamba kama unavyofanya wewe. Unafanya kazi ya mawaziri kwa kutoa takwimu, wewe unapaswa kuongea uhalisia.
 
Hao vijana weka CV zao tuone wanajishughurisha na nini, kama wanajiweza kiuchumi(sio boda boda au Mama ntilie,) tunatska tuone Hao vijana wenye kariba kama Winston kawago msomi mwenye kampuni, alikutana na Makamu wa rais wa USA, tunataka tuone wasomi wenye ukwasi, wanaomiriki shughuri za uchumi, ambao wanaweza kupoteza muda na Mambo ya siasa, Hao watakua wale machawa na kupe, vilaza,ambao kula yao ni handout kutoka ccm
 
Huna akili,huna marinda.
Nakusamehe bure tu maana najuwa wewe ni mgonjwa wa akili kwa hiyo inabidi nikuchukulie hivyo hivyo na maradhi yako ya akili mpaka utakapopona kama utaacha bangi unazovuta bila kipimo wala kikomo
 
Si kosa lako, ukikuwa na kupata akili utajilaumu kwa kazi hii ya uchawa unayoifanya. Wewe kiakili bado mdogo na unafikiri ili kufanya siasa ni lazima kujipendekeza.
 
Si kosa lako, ukikuwa na kupata akili utajilaumu kwa kazi hii ya uchawa unayoifanya. Wewe kiakili bado mdogo na unafikiri ili kufanya siasa ni lazima kujipendekeza.
Mimi sijipendekezi bali naongea ukweli tu.
 
Dunia kwa sasa na mambo yote yapo kiganjani pako.
Ndo uniaambia sources ya Taarifa yako kwa sababu Dunia ipo kiganjani ndyo..
Nataka nijue your sources of measurements...
Pie yako umetoa wapi umetumia Research gani..
Umetumia Class interval ipi..
 
Kwa nini waliiba uchaguzi mazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…