Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Nyie si muibee kama kuiba ni kazi ndogoKaka yenu au mjomba wenu hakutaka shida kabisa yeye aliiba uchaguzi mazima kabisa. Naona dalili zimeanza tena.
Vijana wapumbavu na vichaa pekee ndiyo wanaweza. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee kabisa halifai kuendelea kuwa sehemu ya nchi yetuNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na kuinua matumaini katika mioyo ya vijana,baada ya kutoa maelfu ya ajira kwa vijana serikalini pamoja na ajira mbalimbali zilizotokana na miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa hapa Nchini.
Vijana kwa umoja wao kutoka maeneo mbalimbali nchini wameamua kuchanga hela kwa ajili ya kumchukulia Fomu ya urais mama Samia Mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika, nuru ya wanyonge,mtetezi wa vijana,simba wa nyika na komandoo wa vita.
Vijana wanafanya haya kuonyesha upendo wao mkubwa kwa Rais samia na namna wanavyomuunga mkono, kumkubali na kuendelea kuhitaji utumishi wake kwa miaka mingine tena. vijana wameguswa na kazi kubwa aliyoifanya Rais samia ndani ya Muda mfupi wa uongozi wake iliyoleta matumaini kwa mamilioni ya vijana.
Hivyo vijana wameona wasikae tu wamebweteka kusubiri kuletewa mgombea ,bali wameamua kuonyesha hisia zao na kupaza sauti zao juu ya uhitaji wao wa kuongozwa na Rais samia kwa muhula mwingine tena. vijana wanataka waweke hatima ya Taifa lao na maisha yao katika mikono Salama ya Rais samia kiongozi msafi, mnyenyekevu, mzalendo, mkalimu, msikivu na mwenye upendo.
Rais samia ndiye chaguo la watanzania, ndiye kiu ya vijana,ndiye aliyeshinda katika mioyo ya vijana.ndio jicho lao lilipotizama kwa matumaini na matarajio makubwa. Hii ndio faida ya kiongozi kugusa maisha ya watu,kuinua maisha ya watu, kuleta matumaini katikati ya kukata Tamaa pamoja na mwanga katikati ya giza.
Lazima watu wakupiganie na wakusemee ni lazima vinywa vyao vilisema na kulitaja jina lako kwa mema,ni lazima watu waziseme sifa zako na kutangaza mema yako. Sasa vijana wanamsemea Rais samia kwa yale makubwa na ya kupendeza aliyoyafanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yaliyogusa maisha ya mamilioni ya vijana hapa Nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Aisee nimelia sana! 😂😂😂😂😂Huu muda ni Bora ugejifunza uchawi.....
Waungwana hawatakiwi kufanya hivyo. Ubabe huo ndio chanzo cha machafuko au ndio matunda ya uchamadola?Nyie si muibee kama kuiba ni kazi ndogo
Nyie mbumbubu bana kelele nyingi vitendo zero
Ujinga wenu tuu, huyu Samia kanunua tickets 30000 Leo kwa hao uvccm, leo atashindwa nini kuwapa hela wakamchukulie fomu?Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika kumekucha,kumepambazuka Tanzania. Bendera imepandishwa,imepandishwa na vijana. Ni bendera ya upendo ,upendo kwa Rais samia kipenzi cha vijana aliyeleta na kuinua matumaini katika mioyo ya vijana,baada ya kutoa maelfu ya ajira kwa vijana serikalini pamoja na ajira mbalimbali zilizotokana na miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa hapa Nchini.
Vijana kwa umoja wao kutoka maeneo mbalimbali nchini wameamua kuchanga hela kwa ajili ya kumchukulia Fomu ya urais mama Samia Mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika, nuru ya wanyonge,mtetezi wa vijana,simba wa nyika na komandoo wa vita.
Vijana wanafanya haya kuonyesha upendo wao mkubwa kwa Rais samia na namna wanavyomuunga mkono, kumkubali na kuendelea kuhitaji utumishi wake kwa miaka mingine tena. vijana wameguswa na kazi kubwa aliyoifanya Rais samia ndani ya Muda mfupi wa uongozi wake iliyoleta matumaini kwa mamilioni ya vijana.
Hivyo vijana wameona wasikae tu wamebweteka kusubiri kuletewa mgombea ,bali wameamua kuonyesha hisia zao na kupaza sauti zao juu ya uhitaji wao wa kuongozwa na Rais samia kwa muhula mwingine tena. vijana wanataka waweke hatima ya Taifa lao na maisha yao katika mikono Salama ya Rais samia kiongozi msafi, mnyenyekevu, mzalendo, mkalimu, msikivu na mwenye upendo.
Rais samia ndiye chaguo la watanzania, ndiye kiu ya vijana,ndiye aliyeshinda katika mioyo ya vijana.ndio jicho lao lilipotizama kwa matumaini na matarajio makubwa. Hii ndio faida ya kiongozi kugusa maisha ya watu,kuinua maisha ya watu, kuleta matumaini katikati ya kukata Tamaa pamoja na mwanga katikati ya giza.
Lazima watu wakupiganie na wakusemee ni lazima vinywa vyao vilisema na kulitaja jina lako kwa mema,ni lazima watu waziseme sifa zako na kutangaza mema yako. Sasa vijana wanamsemea Rais samia kwa yale makubwa na ya kupendeza aliyoyafanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yaliyogusa maisha ya mamilioni ya vijana hapa Nchini.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Hiyo "mpaka 2030" mmehakiki kwa atoaye uhai kuwa atakuwepo!!??Rais Samia Ndiye Rais wa watanzania mpaka 2030.ndio chaguo la watanzania,ndio kiu ya mamilioni ya watanzania na ndiye anayeungwa mkono na mamilioni ya watanzania na ndiye aliyeshinda katika mioyo ya vijana walio wengi hapa nchini,ambao sasa wameamua kumchukulia Fomu ya Urais uchaguzi ujao ili kuonyesha upendo wao kwake .
Huu mwiba huwa siuelewi mimi,sizani kama ni liziki,sio kwa uchawa huo[emoji3][emoji3]Ila Luca unaboa sahivi, mxxxxiiiiieeeew.
Tutolee uchuro wako hapa, vijana wa ukoo wenu labda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huwa unatafuta nini siku nzima kupigia debe mtu kama hutafuti ulaji,acha kutufanya watoto bwanaKwani Nani kakwambia natafuta ajira hapa jukwaani
Hakuna aliyeiba uchaguzi.wananchi kwa upendo wao ndio walioipigia CCM kura za ndio kwa kishindo.Kwa nini waliiba uchaguzi mazima?
Kwani nani kakwambia kuwa natafutia ulaji hapa jukwaani.Sasa huwa unatafuta nini siku nzima kupigia debe mtu kama hutafuti ulaji,acha kutufanya watoto bwana
Wewe ni laana katika ardhi ya TanzaniaVijana wapumbavu na vichaa pekee ndiyo wanaweza. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee kabisa halifai kuendelea kuwa sehemu ya nchi yetu
Rais samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na ndiye anayeendelea kumlinda, kumpigania na kumtetea wakati wote.ndiye anayeendelea kumpatia afya njema na ndiye kwa uweza wake atampatia uhai na afya njema ya kuendelea kulitumikia Taifa letu mpaka 2030.Hiyo "mpaka 2030" mmehakiki kwa atoaye uhai kuwa atakuwepo!!??
Kwani ukiandika kuwa atatetea kiti (akiwa hai) 2025 utakuwa umekosea!!??
Jifunzeni kuweka akiba ya maneno.
Katiba itakayo kuwepo wakati huo.Huo uchaguzi utafanyika kwa KATIBA ipi?
Ni vijana wote bila kujali itikadi zao za kisiasani vizuri ukasema UVCCM
Huwezi siasa, tafuta kazi nyingine ya kufanya. Kujipendekeza si njia sahihi ya kufanya siasa. Hao unaowafagilia pia wameshashitukia uwezo wako wa kufikiri, kupambanua na kuchambuaNi vijana wote bila kujali itikadi zao za kisiasa
Magufuli aliongoza wizi wa uchaguzi 2020, achilia mbali wizi wa kura.Hakuna aliyeiba uchaguzi.wananchi kwa upendo wao ndio walioipigia CCM kura za ndio kwa kishindo.
Mmeshaongea na Mungu kwamba mama ataiona kesho?Ndugu zangu Watanzania,