Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Katika vitu hutakiwi kukosea ni kuoa, ingawa pia Kuna bahati ndani yake ,ukibahatisha wife matilio utaifurahia ndoa kinyume chake ni majuto. Sasa Kuna sifa za wazi kabisa hata sisi wazee tunaziona na tunakushauri wewe kijana lakini umekomaa tu hutaki kusikia,. sikiliza .usioe wanyesifa zifuatazo.
1.Mwanamke anaependa kuonekana onekana mbele za watu au mitandaoni,. Kila anachofanya anajiposti, huyo ni mwanamke wa taifa sio mke wa mtu, ndio maana anataka Dunia yote imfahamu mwisho wa siku atafutwe Chapa harafu mkimbie
2.Mwanamke anaependa kuvaa nusu uchi mapaja na kifua au tumbo nje, huyo nimfanya biashara ya mwili yaani ni changudoa hafai, Ila anafaa kukupa tu burudani yaani starehe mtumie ukijua hivyo
3 Mwanamke anayevutia sana macho ya watu, yaani akipita sehemu lazima watu wageuke kumuangalia huyo humwezi, hata uwe tajiri kiasi gani ataliwa tu. Kitu ambacho unapaswa kujifunza wanawake wazuri wengi wao ni kwaajili ya starehe hutulia baada ya kuzeeka. Wamejaa kwenye mabaa , mahoteli na Siasa na wengine ni masekretari kwenye ofisi za umma na za binafsi , (sio wote lakini wengi wao)Hao ni kwaajili ya starehe tu ,
4,Mwanamke anaye kuzidi kipato, elimu au cheo ni wazuri mwanzoni lakini kadili siku zinavyoenda utanyansika sana, huanza kuonesha dharau na kuku hesabia vitu anvyonunua hapo ndani , mtumie kwa starehe lakini kama unaweza kuchota pesa zake ishia nae kwa malengo ukizichota kimbia katafute mbulula mwezio wa kuoa kabla dharau hazijaanza .harafu uje unyanyasike.
5.Mwanamke anayependa sana vitu vizuri na starehe, epuka Sana mwanamke ambaye hapitwi na kitu iwe saa simu Nguo sherhe na anaependa kutolewa out kila wakati na akifika huko anavyoagiza sasa utafikiri anakukomoa, unaweza kumkimbia, huyo ni wastarehe tu, chapa kimbia .
Mwisho mwanamke wamizinga, kulialia shida kila wakati humalizi siku mbili kaomba hela, ukimkaribisha kwako kabla ya mechi utasikia mbona Ile laki hukunitumia, yaani mpaka anakutoa kwenye mudi, huyo chapa harafu mkimbie
kijana tafakari kuhusu huyo Binti ulienae kama anasifa nilizo zitaja hapo juu huyo wakustarehe nae tu Usijidanganye kumwoa utajuta harafu mtakuja na slogani ya kataa ndoa kumbe ni uzuzu wako wamapenzi ndo uliosababisha kuoa mwanamke wa starehe badala ya wife matilio.
Nb nikipata nafasi nitakuwa na sifa za wife matilio kwa kuzingatia uzoefu wangu wa miaka 30. ya ndoa.
Karibuni kwa maoni na nyongeza.