antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Dah,Nb nikipata nafasi nitakuwa na sifa za wife matilio kwa kuzingatia uzoefu wangu wa miaka 30. ya ndoa.
Madini kuntu haya..
Em sasa tushushie nondo kuhusu kumtambua waifu matirio
Dah,Nb nikipata nafasi nitakuwa na sifa za wife matilio kwa kuzingatia uzoefu wangu wa miaka 30. ya ndoa.
Hahaha,Nimeishaaa