Uchaguzi 2020 Vijana kuweni makini kwa ahadi za uongo kutoka Vyama vya Upinzani

Hosni Mubarak hakuwahi kuwa Dictator kwa ufahamisho wakati wa utawala wake chama cha Muslim kilikuwa na hata wabunge wa kuchaguliwa na kiliruhusiwa kufanya siasa baada ya maandamano ya kuiondoa Muslim Brotherhood ndipo huu Rais Sisi dikteta kamili alipoingia madarakani na kupiga marufukuu vyama vyote vya siasa
 
Huyo ndugu yako Raila Odinga baada kupigwa Rushwa ya uongozi na Uhuru Kenyatta leo amewaacha wapiga kura wake kwenye mataa. Kwa ufahamisho Gavana wa Migori kutoka chama cha ODM amepelekwa mahakamani kwa wizi wa mabilioni. Leo tumeona Rais Kenyatta akimnyanyasa Jaji Mkuu Maraga huku Raila Odinga akiwa kimya. Ufisadi uliotokea Kenya baada ya kuanza mfumo wa vyama vingi ni mkubwa kuliko utawala wa Kanu
 
Bado nakuambia bure hujui kitu. Tafuta history ya Egypt uone mfano wako kama si AIBU !!!.
 
Unamuita Raila ndugu yangu sijui kwanini asiwe ndugu yako. Ccm imekuepo sasa miaka 60 . Je unaridhika na hali inayokuzunguka ?! .

Mifano ya Kenya unayoitoa haifanani na hapa kwetu. Na amini usiamini wako mbele yetu hatua nyingi sana. Kiuchumi na kisiasa na hata huduma za jamii
 
Sisi tunataka stability ya Tanzania hatuwezi kuona kikundi cha wahuni wakitawala Tanzania. CCM still the best kwa watanzania
 
Mkuu sikufokei ila nimetoa mfano hai kwa nchi ambazo zimepitia njia mnayotaka kutupeleka
Pia kuna Mifano ya Zimbabwe, Angola na Msumbiji ambao wamefanya kama Tanzania na CCM yetu na hali za wananchi wao ni mbovu kama zetu.
 
Nikianzia suala la ajira ni tatizo la sehemu kubwa duniani watu wamepoteza kazi kwa hali mbaya ya kiuchumi pamoja na tatizo la ugonjwa huu wa COVID19 ulipojitokeza.
Mtajibeba mwaka huu. John hajaanza mwaka huu kuwapuuza vijana kuwapa ajira. Kwahiyo usitumie Corona kama kichaka cha kuficha dharau za John kwa vijana.
 
Lakini kodi kila siku zinakuwa kero kwa wananchi , Nilichogundua ni kwamba wewe ni ukanda oriented au ukabila oriented , huna lolote zaidi. Hakuna logic yoyote hapo ya unachotetea zaidi wanatutia umaskini wananchi wa chini.
 
Sisi tunataka stability ya Tanzania hatuwezi kuona kikundi cha wahuni wakitawala Tanzania. CCM still the best kwa watanzania
Unapowaona Cdm ni wahuni. Wao wanawaona Ccm ni wezi na nyang'au kabisa.

Habari za kila upande kutokuridhika na upande wa pili ni natural . Hata Leo Trump haridhiki na Biden is natural.
 
hatuwezi kuona kikundi cha wahuni wakitawala Tanzania. C
Wahuni ni wale
Wanaoteka watu.
Wanauwa watu.
Wanapiga risasi watu.
Wanadhihaki watu wakiptwa na maafa.
Wanavamia vutuo vya redio na tv.
Wanatishia kuwapia mashangazi

Hawa ndiyo wahuni wasiofaa kuchaguliwa.
 
Ahadi za uongo zilianzishwa na ccm, na zinaendelea kutamalaki hivyo huu ni muda muafaka wa kuiondoa CCM, tukutane Oct 28
 
W
Alokutuma nenda ukampe salamu zake...kamwambie kwamba kuku kala mchele mchana jioni nae kaliwa na wali
 
Kipindi cha kampeni mnatuahidj Ajira
Mkipata madaraka mnatuambia tujiajiri
 
Kijana La kuambiwa na Lisu Changanya na akili zako .Lisu ana uongo wa kufa mtu

Sasa wewe umeona chadema wamenunua ndege? Lisu hajasema watu wasipande ndege. Anachosema serikali isinunue ndege, acha watu binafsi wazinunue na kufanya biashara. Lumumba vipi?
 
Mgombea yeyote atakae ahidi kuwepo na haki, uhuru, kutoingilia biashara zote, kuto dhulumu mazao ya wakulima, namuunga mkono.
 
Wafuasi wa tundunlissu Ni vijana Kati ya miaka 25-35 wengiwao Ni wakiume, Hawa vijana hawana kazi za kueleweka na umri wakukaa kea wazazi wao umeshapita, na kazi wanazofanya Ni za shurba Kama bodaboda machinga kupigadebe stand
 
Kijana La kuambiwa na Lisu Changanya na akili zako .Lisu ana uongo wa kufa mtu

View attachment 1560044

We nae shule yako sijui darasa la ngapi
Kwani hiyo ndege ni ndege ya serikali?

Lisu anamaanisha kutoa mapesa mengi kwenda kununua ndege ambazo inasemekana hazileti faida haina maana
 

Bora upinzani mara tririon kuliko ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…