2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake.
Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja
lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ)
nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake. Nikajaribu kuuliza nikaambiwa lakini sikuamini.
Nilikuja kuthibitisha nilipoona kwenye EURO 2020 hapo ndio nikafanya uchunguzi zaidi na kupata jibu. Mtaani watu wanavaa kama Kawaida ila rangi hivi ukivalia ULAYA NA MAREKANI basi watajua ni mwanachama mwenzao au unaunga mkono vitendo ambavyo havijulikani kwa Mungu.