Vijana Kuweni na Busara hata Kidogo

Vijana Kuweni na Busara hata Kidogo

Sio vema kutukana au kumfokea ama kumjibu mtu mzima Kwa lugha mbovu ni jambo lisilo na heshima

NB: sijawah amini kwenye laana et binadam anaacha laana Kwa mtu labda mnipe mfano wa mtu aliyepata laana Kwa kufokea watu
 
Masuala ya imani tu
 
Hujanielewa, sisi wazee wa hovyo hatubabaishwi na hawa vijana wa Y2K, tutawanyoosha!
Nimekupata sasa. Nawaona huku mitaani mnaenda nao idara zote. Ila mkijichanganya ndio mnapigwa mitama na matusi juu.
 
Hahaha, hatuendi nao kimabavu mkuu. Kweli watatupiga mitama, dawa yao ni kuhakikisha kibunda kimekaa vizuri mda wote. Na vinakuwa na heshima ya kinafiki sana wakijua yule "faza" yupo njema.
 
Wanaheshimu vitu kuliko mtu. So sad.
 
Back
Top Bottom