Vijana Kuweni na Busara hata Kidogo

Limbukeni wa pesa huyo Dogo
 
Acha wazee watukanwe kwa uzembe wao wa kutafuta maisha.eti nlikutana na mzee nikiwa lindo miaka hiyo na e mlinzi katika pigapiga story akaniambia alikua polisi baada ya kustaafu pesa ikaisha akapigika ndo kuja kampuni za ulinzi.tukiwa lindoni mzee story zake ni wanawake na kunyanduani enzi ana nguvu zake.mzee kama huyk ukitukana si ni sawa tu
 
Ha ha ha tu field ofisa twa kampuni za ulinzi waga vinajikuta sana.utafokiri wao ndo wamekuajiri utasokia ntakufukuzisha kazi.wee kuna mmoja alizingua nliwaka mpaka akajaa akataka anivae nkamwambia ntakupasua vibaya mno sinyenyekei kazi ntakupiga pr 24 nivunjee mguu ili nkafukuzwe vizuri nikikuacha na kirema
 
Hata mimi nilifikiria hivi. Huko mbeleni vijana hawajali una umri gani ila una uchumi gani.
Ni kweli Mkuu, kwakweli Vijana ambao ni Wazee watarajiwa wajiandae sana.

Vinginevyo watakuwa na Uzee usio na heshima wala staha
 
Majibu mengi niliyosoma humu nimeona kweli generations zinatofautiana sana.
 
Vijana mna moto sana.
 
Ni kukosa hekima tu na busara ndio kunapelekea hayo, huyo kijana amekosa hekima na busara, naamini mwenye hekima na busara hata Mzee angefanya nini asingefika huko.

Kuna watu wakipata hela utu kwao unakuwa haupo kabisa, Kuna watu kuwa na hela kwao ndio kila kitu na dharau Kila mahala walipo na huletea kila mtu.
 
Kizazi tulichopo vijana wamedata na ugumu wa maisha, kila kitu kinahitaji hela kukipata kwaiyo presha na stress ni nyingi sana, mbaya zaidi vile vitisho vya laana, mzazi kukumwagia radhi n.k tayari washafungua code na kujua zilikua mind games. Wakubwa pia tuchukue tahadhari tunapodeal na watoto na wadogo zetu ili tusivunjiwe heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…