Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Hauko sawa wewe unayetaka kuolewa katika familia za watu kwa shobo za "royal family" ili upate status na pesa.

Ukiambiwa bong'oa watu wakupitie matakoni upate status na pesa utakataa wewe?

Au utaona ni fursa tu utakubali?
Kaka unazidi kunionesha symptoms
zako : nimekupa ushauri ambao labda hujawahi kujulishwa

Tatizo la afya ya akili sio uchizi usione kama ni matusi: ni minor disturbance kwenye brain over excessive character

from my experience, na practice , ninakujulisha rasmi una Afya ya akili
Mental issues na hii sio matusi mkuu

Bali kafanyie kazi , nenda clinic USA zipo nyingi mbona

You are not normal Nigga, trust me
 
🤣 nikikuambia unatatizo la afya ya akili bado unaona nakuzushie

una symptoms zote

Fanyia kazi kaka

Your name says it all. Megalodon = Magalomaniac Don.

"A megalomaniac is a person who has a wild love for power and control. They often think they are much more important, smart, or powerful than they really are"
 
Naomba iendelee 😅😅😅
 
ndio maana nimesema wahi clinic watakupa full diagnosis , watakusaidia na utarudi kawaida

Tatizo lako haupo focused
 
ndio maana nimesema wahi clinic watakupa full diagnosis , watakusaidia na utarudi kawaida

Tatizo lako haupo focused
Wewe unepigika na maisha umegeuka kama fisi anayemendea mkono wa mtu anayetembea akitumaini utaanguka.

Ndiyo maana unaotaota tu kufadhiliwa na familia za watu.

Kwa ulimbukeni huu ukiombwa utabong'oa tu wakupitie.

Utasema hii ni fursa nayo.

Huna uwezo wa kukataa.
 
Kivipi? Acha story za alfu lela.
 
Upo sahihi kwenye ethics , nime kiuka but JF watu husaidiana

Over many years did you know una shida ya afya ya akili

Why can’t you appreciate little thing na ukachukua action
 
hao washaanza kukutana miaka zaidi ya 7 nyuma uko kwenye maconfernce ya kimataifa na sio jana watu hawafanyi research kabla ya kuongea ,kwa kifupi ndege wafananao uruka pamoja kama ni mtu wakushinda clubs utampata clubs,kama wakushinda church utampata wa church,duniani kila bahati lazima uitengenezee mazingira
 
Upo sahihi kwenye ethics , nime kiuka but JF watu husaidiana

Over many years did you know una shida ya afya ya akili

Why can’t you appreciate little thing na ukachukua action
Wewe limbukeni usiyejua tofauti ya "loser" na "looser" jifunze spelling kwanza kabla ya kurukia mambo makubwa.

Wewe ni limbukeni mshenzi tu, hujafikia hata uwezo wa kujibizana nami.

Na kuanzia hapa nakupeleka ignore list kwa sababu unashusha viwango vya mazungumzo tu.

I made my point.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika nakupotezea jibizana na malimbukeni wenzako.
 
Ndoa si suala la hisia pekee, inaweza pia kuwa strategy ya maisha. Ukipata nafasi ya kuingia kwenye familia yenye nguvu, connections na opportunities ambazo zinaweza kubadilisha direction ya maisha yako, si busara kuipuuza. Kwenye maisha, lazima ujue kutambua fursa na kuzitumia kwa akili.
 
royal family wanahtaji kitu gan kutoka kwa mtu asietoka royal family?
 
🤣Mental Symptoms pole sana Kaka Kiranga . Hiii ni Tatizo lifanyie kazi as a brother

Sina maana ya kukushusha but kukusaidia

Una tatizo ambalo hujui
Miongoni mwa character za Afya ya akili ni Hilo la kuona una shushwa hadhi. Brother you have to know kuwa hadhi yako ni kama binadam wengine huna tofauti
Suala la kupiga watu vibao lilitokana na kuona hadhi imeshushwa

The same thing unarudia hapa hapa . Kama ungekuwa karibu nami ungepiga watu vibao
Ni Tatizo and you have to accept

Ignore list means wewe ni dictator na huwezi mijadala kinzani
Hizi ni sifa za afya akli. I tell you
Pole
 
royal family wanahtaji kitu gan kutoka kwa mtu asietoka royal family?
Royal Family haihitaji tu mtu mwenye pesa, inaweza kuhitaji connections, competence, image, legitimacy au access kwenye jamii na networks ambazo wao hawana. Kwa kifupi, kila upande una kitu cha kuleta mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…