Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
That’s weak beta male energy.
Hakika ndugu yangu.Hii misingi itakuwa effective kuishikilia ndoa kama pande zote 2 zitaishi humu.
Ila bahati mbaya hii sio misingi kwa wanawake wengi kuingia ndoani.
"Luck is what happens when preparation meets opportunity"duniani kila bahati lazima uitengenezee mazingira
Unajua mtu anaweza kua na bad mood.. alafu kaingia online wewe una mtikisa kama chupa ya coca-cola then unafungua kifuniko 😁😁😁 guess what will be happen@ Kiranga anashida ya Afya ya akili muacheni;
Mtoto wa kiume anajadili na kususa,
Wewe jamaa unanivutia una maarifa, ni eloquent and brilliant japokuwa tunapishana kwenye suala la kuwepo Mungu. Anyways, huoni kwamba kinachokupa ubavu wa kukataa royal family daughters ni kwa sababu unajiweza kiuchumi na tayari familia yako wapo vizuri? Vipi ungekuwa unatokea familia zetu za chini bado ungekuwa na hizo 'cojones' ?Wewe hujui hata kuandika "loser". Unaiandika "looser". You are semi literate. You can't even spell.Una ulimbukeni unaojionesha waziwazi. Huijui dunia.
Tena umefanya tatizo la logical non sequitur fallacy, kwamba nilipomkataa huyo, sikuweza kuwa na mwanamke mwingine mwenye status ninayemtaka mimi. Si kwa sababu ana status, bali kwa sababu ana vitu vyote ninavyotaka mimi.
Yani hujui kuwa naweza kuwa nimeacha hao unaoona wa matawi kwenu kajambanani mkunduni mwa dunia huko, nikaenda kimataifa zaidi kwenye "Daughters of The Revolution", unawajua hao?
Ujinga wenu, unaotokana na ulimbukeni, ni kuona mwanamke wa hiyo "royal family" anafaa kwa sababu ni wa royal family tu.
Wewe una matatizo ya umasikini, pengine wa mali lakini zaidi wa akili.
Ndiyo maana una ulimbukeni huu.
Mimi sina hilo tatizo la ulimbukeni. Nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu huyo binti hajakujua Ikulu.
Kwa hiyo, we are from different worlds, unachokishobokea wewe mimi nakiona ushamba tu.
Yani niende kuwa na mwanamke naona hatuendani kwa sababu tu ni "Royal Family" namshobokea kwa sababu ya familia yake?
Ujinga gani huu?
Ukaenda kuni googleYour name says it all. Megalodon = Magalomaniac Don.
"A megalomaniac is a person who has a wild love for power and control. They often think they are much more important, smart, or powerful than they really are"
Kiranga is always right ! Hili ni tatizo la watu wenye afya ya akili halaf pia I Guess he is age GOUnajua mtu anaweza kua na bad mood.. alafu kaingia online wewe una mtikisa kama chupa ya coca-cola then unafungua kifuniko 😁😁😁 guess what will be happen
Mimi ni mara chache sana sanaa kupalulana na watu humu ndani wapo ambao Huwa tunapitana KAMA TUNA AGA MAITI.
By the way tuheshimiane na kujadiliana kwa heshima na tukubali kutokubaliana
🤣Sikuizi umeacha kuandika Ottawa mwisho wa thread zako
Miaka kumi na tano iliyo pita nilikua na option mbili nije dar es salaam nikiwa sina cha kufanya ila kwenye begi na vyeti vya taalumaWewe jamaa unanivutia una maarifa, ni eloquent and brilliant japokuwa tunapishana kwenye suala la kuwepo Mungu. Anyways, huoni kwamba kinachokupa ubavu wa kukataa royal family daughters ni kwa sababu unajiweza kiuchumi na tayari familia yako wapo vizuri? Vipi ungekuwa unatokea familia zetu za chini bado ungekuwa na hizo 'cojones' ?
Safi sana mkuu, upande ile ya kati, moja ndogo ina vibe dogo bwasheeMiaka kumi na tano iliyo pita nilikua na option mbili nije dar es salaam nikiwa sina cha kufanya ila kwenye begi na vyeti vya taaluma
Kuna sehemu mkoa nilikua nafanya KAZI na Nika be introduced kwa kigogo mmoja wa chama na serikali nilikua namuhudumia mama yake mzazi na baba yake mzazi for sure walinipenda sana nidhamu, heshima na utii wangu na nilifanya kazi zao vizuri
Kichwani ile niliyo kua nafanya ilikua survival job nikawa na option niongee na yule mama ambae mtoto wake mpaka sasa ni kigogo ndani ya chama na serikali.
Issue ikaja Mimi ningeweza kujibu adjust na kuwa hata mfuta vioo au CHAWA MTIIFU ILI TU NIWEZE KUPATA DONGE..
Sikwenda kuomba nisaidie na ile familia nilicho Fanya ni ku quite survival job na kubeba begi kuja dar es salaam kujitafuta
Maisha sio mabaya.. today am here sijatoboa sana ila maisha Naya grade B plain napambana yawe B+ na ikifana niyafikishe grade A
NB. Mimi ni aina ya watu uki share a moment for life..lazima utaona potential zangu kwenye all sphere of life
min -me , hapa ndio nataka nianze kupiga konyagiiii ndogo moja
😁😃 Ngoja Leo nipige mbiliSafi sana mkuu, upande ile ya kati, moja ndogo ina vibe dogo bwashee
Yeah mbili angalau , unapendeza , hivi nyagi na ile nyingine kvant ipi huwa ni nzuri😁😃 Ngoja Leo nipige mbili
Ubaya wa kulazimisha mtu kujifanya una mpenda mwisho wasiku ukipata unae mpenda lazima familia ya hao matajiri ikupeleke ile safari ambayo watu wakiendaga hawarudiiInashangaza sna
K vant ni kifutio sana inakupotezea kumbukumbu bwasheee😃Yeah mbili angau , unapendeza , hivi nyagi na ile nyingine kvant ipi huwa ni nzuri
Kumbe😅K vant ni kifutio sana inakupotezea kumbukumbu bwasheee😃
Sio ya kwendea pupaKumbe😅
Mkuu pamoja na mambo mengi upo sahihi kwa mtazamo wako, maisha no safari ndefu sana.. unaweza kuyafanya kwa namna nyingi.. ndyo maana kuna wengine huamua kwenda kwa waganga wa kienyeji ili wafanikiwe, wengine kujiuza, wengine kuwa majambazi, kufanya uchawa(hii nadhani ipo tz) na namna nyingine...Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.
Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.
Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.
Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .
Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).
Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano
Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma
Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .
Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa
Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE
Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile
Shauri yenu
hv mtu mwenye connections, network, access anawezaje kuwa maskin kiasi cha kuvizia girls from royal families? kwa nn asivitumie hvyo vtu kuukimbia umaskin?Royal Family haihitaji tu mtu mwenye pesa, inaweza kuhitaji connections, competence, image, legitimacy au access kwenye jamii na networks ambazo wao hawana. Kwa kifupi, kila upande una kitu cha kuleta mezani.
😃😃😃😃😃 mkuu umenyooka sanaDefinition yako ya kufanikiwa ya kilimbukeni usifikiri kila mtu anawaza hivyo. Wengine hawashobokei hizo familia na ndiyo kwanza wanaziona mzigo. Na hawana tatizo lako la "Status Anxiety".
Mimi katika maisha yangu zamani nishakuwa karibu sana na binti mrembo mtoto wa rais, akaniletea shobo, nikampiga kibao. Kuwa mtoto wa rais hakukumsaidia dhidi ya mimi kutotaka ujinga.
Na hizo habari za kutafuta mali sishobokei, kwa sababu hata kwetu zipo nimeridhika, mimi mwenyewe najua kutafuta sifakamii mali za familia ya watu.