Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Nilicho gundua ndoa sio kitu cha Kila MTU.

Upo biased kwenye hili jambo.. siku zote ndoa ikijengwa kwa misingi ya upendo na maadili kitakacho tenganisha ni kifo

NB. NIMEKUA SHUHUDA KWA MIAKA YANGU HII 38'S Mimi ni product ya ndoa NIMEKUA nikimuona baba na mama wakiishi ndoa CHANGAMOTO zipo ila

MWEZI wa sita baba alifariki wakiwa na mama Wana anniversary zaidi ya 45's ya NDOA.. mama nilikua nikimwangalia analia Mimi pia nikawa NALIA mama anasema G wangu Sito kuona tena
Pole mkuu,ila hii ya kitonga noma, Nina jamaa Yangu hana sauti Kwa mke!
 
Kwa faida ya vijana WENGI weka wazi waende maeneo ganii..

Kuna watoto wa ki bosi bosi kwenye malezi wamedekezwa mno Kuna wanaume wengine kina sisi HATUWEZI Kuwa CHAWA.

dini yangu ya kikristo siwezi ibadilisha kirahisi.. Naenda kinyume na wewe kabisa kwanini nini pretend ni ngumu mno

Mwisho wa siku nianzishe mchepuko familia ya JK WANIPIGE RISASI

ephen_ aisome 😁
Kwanza hata hiyo dini sio yako . Umejiattach kwenye Imani za watu . Tangu lini wewe black ukawa na dini , kama ulivyojiattach kwenye hiyo Imani ya watu na kusoma historia za watu na kusahau historia ya mababu zako …. Jiattach pia kwa mahusiano hivo hivo

Ni aibu kukutana na black Muslims na black Christian na kuanza kuji proud na hizo Imani kwa mdomo mpana
 
Pole mkuu,ila hii ya kitonga noma, Nina jamaa Yangu hana sauti Kwa mke!
Asante ndugu,
Kuoa mtu sababu ya kitu Fulani hakika ipo siku mta achana TU tena maana. Nashangaa mtu anafundisha watu wafanye FRAUD KWENYE MAPENZI 😁

Sababu za watu KUACHANA zipo kuu TATU
*Differ in interest
*Misunderstanding with parents & Inlaws.
* Financial constrains

Msingi wa ndoa ni MAPENZI upendo wa dhatii ndoa itadumu maana mapenzi haijengwi kwa mali

Hizo ni sababu zilizo fanyiwa tafiti worldwide
 
Kwanza hata hiyo dini sio yako . Umejiattach kwenye Imani za watu . Tangu lini wewe black ukawa na dini , kama ulivyojiattach kwenye hiyo Imani ya watu na kusoma historia za watu na kusahau historia ya mababu zako …. Jiattach pia kwa mahusiano hivo hivo

Ni aibu kukutana na black Muslims na black Christian na kuanza kuji proud na hizo Imani kwa mdomo mpana
Vijana wajikite kwenye KAZI za mikono kuwaambia vijana wawe ma Gold digger kwa kuuza utu wao kwa ajili ya ulicho kiita kupata maisha kupitia wanawake ambao wanatokea familia za wenye kipato na uongozi I think sio sahihi.

NB. Jina lako tu either ni mwarabu au mzungu... Usafi uanzie nyumbani wewe UNGE JIITA MPAMBAYOTO au MAGOKE AU MAGUSHANI AU DONGO kwa uchache sana
 
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.

Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.

Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.

Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .

Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).

Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano

Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma

Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE

Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile

Shauri yenu
Definition yako ya kufanikiwa ya kilimbukeni usifikiri kila mtu anawaza hivyo. Wengine hawashobokei hizo familia na ndiyo kwanza wanaziona mzigo. Na hawana tatizo lako la "Status Anxiety".

Mimi katika maisha yangu zamani nishakuwa karibu sana na binti mrembo mtoto wa rais, akaniletea shobo, nikampiga kibao. Kuwa mtoto wa rais hakukumsaidia dhidi ya mimi kutotaka ujinga.

Na hizo habari za kutafuta mali sishobokei, kwa sababu hata kwetu zipo nimeridhika, mimi mwenyewe najua kutafuta sifakamii mali za familia ya watu.
 
Asante ndugu,
Kuoa mtu sababu ya kitu Fulani hakika ipo siku mta achana TU tena maana. Nashangaa mtu anafundisha watu wafanye FRAUD KWENYE MAPENZI 😁

Sababu za watu KUACHANA zipo kuu TATU
*Differ in interest
*Misunderstanding with parents & Inlaws.
* Financial constrains

Msingi wa ndoa ni MAPENZI upendo wa dhatii ndoa itadumu maana mapenzi haijengwi kwa mali

Hizo ni sababu zilizo fanyiwa tafiti worldwide
Mbona hao wanaooana kwa mapenzi kama mnavodai , Mbona divorce rate ni kubwa ?

Sababu nini I f that is category

Unapoongea lazima uwe na data. Kuna hai rate ya masikini kuachana kwa sasa ambao tunaamini walichaguana kwa mapenzi ….. then what went wrong

Hivi mnasomaga taarifa za Rita

Rate ya single mother and single fathers ipo juu na wengi wao lower and medium income

Bora kuoa mwenye nacho mkiachana tayari una kitu na watoto hawatosumbuka

Hawa masikini wanaoachana wanasumbua sana watoto kwa shida

Kwangu Mimi familia yenye wasomi na hela , I give privilege marriage yao ku last than poor people

Siamini kwenye umasikini
I blv kwenye opportunity na skills
Mwanamke hata akiwa mpagani, au awe na kasoro gani

Kam ni potential siwezi kumuacha to
 
Definition yako ya kufanikiwa ya kilimbukeni usifikiri kila mtu anawaza hivyo. Wengine hawashobokei hizo familia na ndiyo kwanza wanaziona mzigo. Na hawana tatizo lako la "Status Anxiety".

Mimi katika maisha yangu zamani nishakuwa karibu sana na binti mrembo mtoto wa rais, akaniletea shobo, nikampiga kibao. Kuwa mtoto wa rais hakukumsaidia dhidi ya mimi kutotaka ujinga.

Na hizo habari za kutafuta mali sishobokei, kwa sababu hata kwetu zipo nimeridhika, mimi mwenyewe najua kutafuta sifakamii mali za familia ya watu.
Same to me, jamaa anataka kuwafundisha watoto wa kiume kuwa MACHAWA

Kuuza utu wao na kuishi ku pretend ili apate shortcut ya maisha kitu kisicho sahihi na kinacho tweza utu wa mwanaume.
 
Maada ya mleta maada ni nzuri ila Kuna vitu havijui

Kijana aliyeoa kwa mwinyi hakubalisha dini Bali walifunga ndoa kanisani tena st Joseph na yule binti wa mwinyi hakuwa mwisilam Bali alikuwa mkristo kwa dini ya mama yake
Acha uongo na upotoshaji. Yule dogo kabadilisha dini na kafunga ndoa ya Kiislam. Ila sidhani km familia ya Mwinyi ni wale Waislam wa 'kihivo'
 
Definition yako ya kufanikiwa ya kilimbukeni usifikiri kila mtu anawaza hivyo. Wengine hawashobokei hizo familia na ndiyo kwanza wanaziona mzigo. Na hawana tatizo lako la "Status Anxiety".

Mimi katika maisha yangu zamani nishakuwa karibu sana na binti mrembo mtoto wa rais, akaniletea shobo, nikampiga kibao. Kuwa mtoto wa rais hakukumsaidia dhidi ya mimi kutotaka ujinga.

Na hizo habari za kutafuta mali sishobokei, kwa sababu hata kwetu zipo nimeridhika, mimi mwenyewe najua kutafuta sifakamii mali za familia ya watu.
Then you are a looser , na ego yako pia ni changamoto

Kama Mwanamke yupo kwenye family zenye status , yupo well composed and educated ! Kuna changamoto gani ?
 
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.

Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.

Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.

Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .

Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).

Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano

Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma

Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE

Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile

Shauri yenu
Na kuna dogo wa R-Chuga aliyeoa mtoto wa the late TB Joshua, connections and networking.
 
Wewe waache tu, Kuna Njemba juzi akiwa Bar kafuatwa na Gentleman wanataka wakamfumue marinda wampe $ 10,000.
Mmh hao watakua ni ma freemason, wamepewa masharti na majini, wadada wenye makalio mazuri wanaotoa tigo wamejaa tele mjini, inakuaje utoe USD 10,000 ukale tigo ya mwanaume mwenzio, hai-make sense kinondoniilala
 
Acha wazee wa kuteleza waendelee kudandia mafanikio ya familia nyingine.

Wenzenu wanatoil kupata mafanikio nyie mnawaza jinsi ya kudandia maisha ya watu.

Tafuteni vya kwenu.
Hakuna tuzo ya utesekaji bora ukipata shortcut ishi nayo
 
Back
Top Bottom