Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Unaongea mambo theoretically!

Kama mtu niliyekosa kosa kuingia familia mbili za kishua (moja ya kishua, nyingine rich) Mwenyewe nilijipima nikaona sitoshi. Upendo wa kijana/msichana haukutoshi wewe kusavaivu kwenye familia yao.

Kuna mawili lazima uwe na cha kuweka mezani (angalia kijana wa kisukuma ana nini) Au usiwe na cha kuoffer usubiri upendo ukutendee miujiza, wakati huo ukubali “kujipoteza”.

Inategemea value zako kwenye maisha, as someone nisiyependa unnecessary pressure, unnecessary comparison, masimango na sipendi kunyamazishwa na kupangiwa it’s so hard to date for money.

This is harsh reality, i will date/marry within my standards, probably a well off family will come out of me.
Ukweli mtupu huu. Hasa para ya 3. Nimeipenda.
 
Ndo maana wanaume wengi siku hizi wanaingia kwenye ushoga, mwanaume ukishawaza u-date na mwanamke flani ili ufaidike kiuchumi, nafikiri una hatua chache sana za kuja kuwa shoga

Nature ya mwanaume rijali haipo hivyo kabisa, nature ya mwanaume rijali ni unamuona binti unavutiwa na uzuri wake k.v sura, shepu, na ujana wake, unaongea nae ukiridhika na tabia yake unaenda kwa wazazi wake unamtolea mahari unamleta kwako anakua mkeo, unafanya kazi upate hela ya kumhudumia kwa upendo yeye na watoto mtakaopata, huku yeye akisaidia mambo mengine kwenye familia, hivyo mnakua pamoja binti kiziwi
Utakuwa umeshaoa. Usiwaonee choyo ambao bado kutafuta fursa

Ushaga ni hulka tabia mazoea na mazingira
Act your age dogo
 
Haha royal families wanawazaga huyu mtu kaoa/kaolewa kwetu sababu ya hela tulizo nazo, mtoa mada anafikiri royal families huwa hawa-reason mambo kinondoniilala

Watu wanapenda za dezo dezo Sana, watakuja kuolewa na watatolewa marinda kama Anko T.

Wewe waache tu, Kuna Njemba juzi akiwa Bar kafuatwa na Gentleman wanataka wakamfumue marinda wampe $ 10,000.

Mwamba akahamaki, kwanini asiondoke eneo la tukio. Sasa hivi hata Wayne za watu wanaliwa tu kisamvu. Ni mwendo wa kutokana marinda na hizi royal Family hadi akili ziwakae sasa
 
Sio kila mtu ana tamaa za namna hiyo, GAVI alishaweka wazi yeye ana mchumba ake na wametoka mbali. Lol
Ukisha ona we ni mcheza mpira ka tayari Kwa lolote muda wowote, hao wachezaji wanapigwa matukio si weusi si weupe Kuna mchezaji juzi tu hapa Yuko kwenye klabu yake ya mpira kumbe demu wake anachezeshwa rungu, Ronaldo alisubiri kwanza mpaka alipo ona jua la jioni ndo kamganda Georgina hao mademu shida Yao ni wahuni sana, refer mke wa kaka, YAMAL sasa hivi anatakiwa kufunguliwa mashtaka na mpenzi wake wa sasa🤣🤣🤣🤣, muda wowote kina nuka
 
Kaa rada utajikuta unakua umeolewa usipokua na nguvu angalau ili unyanyuke...ingawa ni vizuri zaidi kwa kijana unapooa mwanamke asitoke familia ETHIOPIA(NJAA KALI)...hii itasaidia sana mapambano

Sio umeoa na unakuta wew ndio unajitafuta unajikuta ushakua tegemezi kwa familia 3..ya kwako..ya mke wako..na mliyoanzisha na mke wako.

Hivyo unaanza maisha na umefungwa goli 4-0 dk ya 30
Goli la 1 -kuzaliwa familia maskini
Goli la 2-kusoma elimu ambayo haijakusaidia
GOli la 3-kuoa mwanamke ambae katoka familia maskini
Goli la 4- maskini wote kuanzisha familia pamoja
Dk ya 30-Vijana wengi wanaoa kwenye umri huu hivyo kufanya comeback kwa hiyo migoli hapo ni ngumu mno
 
Back
Top Bottom