Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Kupambania kufanyaje?

Huyo msukuma ni smart, msomi, anamiliki titles, he has been in places (big tables) sio ajabu akawa amekutana na mtoto wa Rais kwenye hizo meza, tofauti yao ni familia wanakotokea.
Yah, ila kusema he earned it ni sawa na kumdogosha. He did not earn it... The marriege earned him. It was a result of his status
 
Kwa nilipo kimaisha ni kheri nikae da kuoa mwanamke maskini mwenzangu. Hivi mnajua how pathetic it becomes mwanaume ukiwa chini kipesa
Inategemea value zako kwenye maisha, some people don’t have one.

Lakini bahati ikikudondokea kama hivi, una asses position yako itakuwa ipi kwenye hiyo familia then you jump in.
 
Inategemea value zako kwenye maisha, some people don’t have one.

Lakini bahati ikikudondokea kama hivi, una asses position yako itakuwa ipi kwenye hiyo familia then you jump in.
Je, kwani ni mpaka family yote ishabiriane na values zako?
Mm Sidhani, kama mwanamke anafaa na kuwa na hizo values unaweza kuendelea tu.. Kwani unaolewa au kuoa familia au ukoo?
 
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.

Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.

Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.

Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .

Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).

Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano

Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma

Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE

Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile

Shauri yenu
Kwa faida ya vijana WENGI weka wazi waende maeneo ganii..

Kuna watoto wa ki bosi bosi kwenye malezi wamedekezwa mno Kuna wanaume wengine kina sisi HATUWEZI Kuwa CHAWA.

dini yangu ya kikristo siwezi ibadilisha kirahisi.. Naenda kinyume na wewe kabisa kwanini nini pretend ni ngumu mno

Mwisho wa siku nianzishe mchepuko familia ya JK WANIPIGE RISASI

ephen_ aisome 😁
 
Back
Top Bottom