Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Then you are a looser , na ego yako pia ni changamoto

Kama Mwanamke yupo kwenye family zenye status , yupo well composed and educated ! Kuna changamoto gani ?
Wewe hujui hata kuandika "loser". Unaiandika "looser". You are semi literate. You can't even spell.Una ulimbukeni unaojionesha waziwazi. Huijui dunia.

Tena umefanya tatizo la logical non sequitur fallacy, kwamba nilipomkataa huyo, sikuweza kuwa na mwanamke mwingine mwenye status ninayemtaka mimi. Si kwa sababu ana status, bali kwa sababu ana vitu vyote ninavyotaka mimi.

Yani hujui kuwa naweza kuwa nimeacha hao unaoona wa matawi kwenu kajambanani mwishoni mwa dunia huko, nikaenda kimataifa zaidi kwenye "Daughters of The Revolution", unawajua hao?

Ujinga wenu, unaotokana na ulimbukeni, ni kuona mwanamke wa hiyo "royal family" anafaa kwa sababu ni wa royal family tu.

Wewe una matatizo ya umasikini, pengine wa mali lakini zaidi wa akili.

Ndiyo maana una ulimbukeni huu.

Mimi sina hilo tatizo la ulimbukeni. Nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu huyo binti hajakujua Ikulu.

Kwa hiyo, we are from different worlds, unachokishobokea wewe mimi nakiona ushamba tu.

Yani niende kuwa na mwanamke naona hatuendani kwa sababu tu ni "Royal Family" namshobokea kwa sababu ya familia yake?

Ujinga gani huu?
 
Naungana na mtoa mada. Marriage is a business, not a love story. Ndio maana mnasainishana mkataba. Kwahiyo ni muhimu pia kwa mwanaume kuzingatia business partner wake anakuja na leverage ipi kwenye mradi.
😄
Wenzetu upande wa pili wamekua wakilipractice hili miaka na miaka, ni wasaa sasa na sisi tufumbue macho na tuyaone mambo kwa uhalisia wake.
 
Definition yako ya kufanikiwa ya kilimbukeni usifikiri kila mtu anawaza hivyo. Wengine hawashobokei hizo familia na ndiyo kwanza wanaziona mzigo. Na hawana tatizo lako la "Status Anxiety".

Mimi katika maisha yangu zamani nishakuwa karibu sana na binti mrembo mtoto wa rais, akaniletea shobo, nikampiga kibao. Kuwa mtoto wa rais hakukumsaidia dhidi ya mimi kutotaka ujinga.

Na hizo habari za kutafuta mali sishobokei, kwa sababu hata kwetu zipo nimeridhika, mimi mwenyewe najua kutafuta sifakamii mali za familia ya watu.

Wewe hujui hata kuandika "loser". Unaiandika "looser". You are semi literate. You can't even spell.Una ulimbukeni unaojionesha waziwazi. Huijui dunia.

Tena umefanya tatizo la logical non sequitur fallacy, kwamba nilipomkataa huyo, sikuweza kuwa na mwanamke mwingine mwenye status ninayemtaka mimi. Si kwa sababu ana status, bali kwa sababu ana vitu vyote ninavyotaka mimi.

Yani hujui kuwa naweza kuwa nimeacha hao unaoona wa matawi kwenu kajambanani mkunduni mwa dunia huko, nikaenda kimataifa zaidi kwenye "Daughters of The Revolution", unawajua hao?

Ujinga wenu, unaotokana na ulimbukeni, ni kuona mwanamke wa hiyo "royal family" anafaa kwa sababu ni wa royal family tu.

Wewe una matatizo ya umasikini, pengine wa mali lakini zaidi wa akili.

Ndiyo maana una ulimbukeni huu.

Mimi sina hilo tatizo la ulimbukeni. Nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu huyo binti hajakujua Ikulu.

Kwa hiyo, we are from different worlds, unachokishobokea wewe mimi nakiona ushamba tu.

Yani niende kuwa na mwanamke naona hatuendani kwa sababu tu ni "Royal Family" namshobokea kwa sababu ya familia yake?

Ujinga gani huu?
🤣 relax basi duh! Mbona umengea sana wakati unatoa mawazo yako
Kama unaona ulimbukeni si ni sawa kwa namna unavyofikiri : na kwa mwingine ikiwa ni tofauti si ni sawa pia

Punguza ushamba basi maana umechanganya mada sana . Umedokoa point kama kuku wa kienyeji
 
Mimi nime relax, nakujibu tu.

Wewe ndiye umeshoboka mpaka umeanzisha uzi.

Hili si suala la "kama unavyofikiri".

Wewe ni limbukeni, masikini, hususan masikini wa akili, objectively. Bado unalimbukia power.

Wakati wengine tumekaa karibu na power, tushaiona, tushaona ni kawaida, si kitu cha kulimbukia.

Binti wa rais wewe uneyemuona ndiyo tiketi ya kukutoa kwenye umasikini wako, mimi nishampiga kibao kwa sababu niliona ananiletea ujinga, na sikuwa na "Status Anxiety" yako ya ulimbukeni.

That is a fact. Objectively.

Wewe kwa ulimbukeni wako huu wa kushobokea "royal families", by any means necessary, kwa nini tusiamini kwamba ukiambiwa mtoto wa kiume bong'oa tukupitie upate mali na status, hutakubali?

Hutaona kuwa hii ni fursa tu wewe kweli?
 
Wewe hujui hata kuandika "loser". Unaiandika "looser". You are semi literate. You can't even spell.Una ulimbukeni unaojionesha waziwazi. Huijui dunia.

Tena umefanya tatizo la logical non sequitur fallacy, kwamba nilipomkataa huyo, sikuweza kuwa na mwanamke mwingine mwenye status ninayemtaka mimi. Si kwa sababu ana status, bali kwa sababu ana vitu vyote ninavyotaka mimi.

Yani hujui kuwa naweza kuwa nimeacha hao unaoona wa matawi kwenu kajambanani mkunduni mwa dunia huko, nikaenda kimataifa zaidi kwenye "Daughters of The Revolution", unawajua hao?

Ujinga wenu, unaotokana na ulimbukeni, ni kuona mwanamke wa hiyo "royal family" anafaa kwa sababu ni wa royal family tu.

Wewe una matatizo ya umasikini, pengine wa mali lakini zaidi wa akili.

Ndiyo maana una ulimbukeni huu.

Mimi sina hilo tatizo la ulimbukeni. Nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu huyo binti hajakujua Ikulu.

Kwa hiyo, we are from different worlds, unachokishobokea wewe mimi nakiona ushamba tu.

Yani niende kuwa na mwanamke naona hatuendani kwa sababu tu ni "Royal Family" namshobokea kwa sababu ya familia yake?

Ujinga gani huu?
Kiranga Mimi naamini kwenye attachment endapo skilled Guy akaapata huyo fursa asiiachie kwa sababu zisizonataji. Hii haiendi kuondoa kile unachokiamini wewe kuwa ni ulimbukeni, na hiyo Imani yako ya kuona ni ulimbukeni haipaswi kuondoa Imani ya mwingine kuwa ni fursa

Some how wewe kama ulikutana na hao na ukaona ana kuchukulia poa ……hiyo ni personal experience yako hatuwezi kuifanya kuwa ni sehemu ya mjadala

What if wewe una Ego ya kuona hupaswi
kufanyiwa hivi au vile : Je unajua kua Excessive ego ni Tatizo la afya ya akili ?

What if nikikuambia wewe ni psychologically au mental challenged
bila kujijua utakubali?

Mfano kutaka kumpiga mtu kibao kwa kuona amekushusha sana tena mwanamke : that is serious Tatizo la afya ya akili ,

Na nikisoma post yako hata namna ulivyo tiririka unaonekana una excessive ego which imeathiri certain part of your brain, tatizo la afya ka akili sio uchizi Bali ni excessive character ulizo develop over Time …. Hizi zimekuathiri hata namna kujadili mada

sija conclude but una symptoms za Afya ya Akili and psychologically challenged

Haupo sawa , kitendo hata cha kufikiri kumpiga mtu kibao kimenistua plus na mtiririko maneno yako
 
Mimi nime relax, nakujibu tu.

Wewe ndiye umeshoboka mpaka umeanzisha uzi.

Hili si suala la "kama unavyofikiri".

Wewe ni limbukeni, masikini, hususan masikini wa akili, objectively. Bado unalimbukia power.

Wakati wengine tumekaa karibu na power, tushaiona, tushaona ni kawaida, si kitu cha kulimbukia.

Binti wa rais wewe uneyemuona ndiyo tiketi ya kukutoa kwenye umasikini wako, mimi nishampiga kibao kwa sababu niliona ananiletea ujinga, na sikuwa na "Status Anxiety" yako ya ulimbukeni.

That is a fact. Objectively.

Wewe kwa ulimbukeni wako huu wa kushobokea "royal families", by any means necessary, kwa nini tusiamini kwamba ukiambiwa mtoto wa kiume bong'oa tukupitie upate mali na status, hutakubali?

Hutaona kuwa hii ni fursa tu wewe kweli?
Bado huja relax : Nimekuambia wewe unatatizo la Afya ya akili , trust me

Maana hata namna ya kujadili mada kwa mtazamo wa mawazo tofauti hujui

Tatizo la Afya ya akili lilikupelekea kuona huyo dada amekushusha ; you have excessive ego ambayo inakuondoa a kwenye reality ya Maisha , over time hiyo character ime create dependence kwenye neurones zako , and now una tatizo la Afya ya akili bila kujijua
Na hii inakufanya ushindwe ku relax na ku focus kwenye simple discussion

Mimi nikikusoma naona kabisa you need mental therapy to stabilize your brain nerves
Otherwise ipo siku utakuwa wa ajabu …… au kufanya cha ajabu
 
Sema nini wazee wanaume wengi wa kiafrika tuna mfumo dume kutokana na maisha yetu kwenye familia tulizotoka.

Ila mleta mada yupo sahihi ukipata hizi familia zakishua usirud nyuma jump in haraka sana.

Kuna mwanangu yupo saizi anazunguka nchi kibao wakatu tulikuwa level moja ila sahizi kanipita vitu kibao.

Note
Ukiingia kwenye hizi familia zakishua kama na wewe hauko vizuri utakuwa hauna say kila kitu wewe ndio tu
 
Kiranga Mimi naamini kwenye attachment endapo skilled Guy akaapata huyo fursa asiiachie kwa sababu zisizonataji. Hii haiendi kuondoa kile unachokiamini wewe kuwa ni ulimbukeni, na hiyo Imani yako ya kuona ni ulimbukeni haipaswi kuondoa Imani ya mwingine kuwa ni fursa

Some how wewe kama ulikutana na hao na ukaona ana kuchukulia poa ……hiyo ni personal experience yako hatuwezi kuifanya kuwa ni sehemu ya mjadala

What if wewe una Ego ya kuona hupaswi
kufanyiwa hivi au vile : Je unajua kua Excessive ego ni Tatizo la afya ya akili ?

What if nikikuambia wewe ni psychologically au mental challenged
bila kujijua utakubali?

Mfano kutaka kumpiga mtu kibao kwa kuona amekushusha sana tena mwanamke : that is serious Tatizo la afya ya akili ,

Na nikisoma post yako hata namna ulivyo tiririka unaonekana una excessive ego which imeathiri certain part of your brain, tatizo la afya ka akili sio uchizi Bali ni excessive character ulizo develop over Time …. Hizi zimekuathiri hata namna kujadili mada

sija conclude but una symptoms za Afya ya Akili and psychologically challenged

Haupo sawa , kitendo hata cha kufikiri kumpiga mtu kibao kimenistua plus na mtiririko maneno yako
Wewe unaleta habari ya unachoamini wakati mimi naongelea fact.

Kumuoa mwanamke kwa sababu ni fursa ya kiuchumi ni ulimbukeni na umasikini, hususan wa akili. Ni kuitweza taasisi adhimu ya ndoa kuwa biashara.

Pia, ni namna fulani ya mwanamme kuogooa maisha mpaka kujishusha utu wake. Kimsingi kujipachika utumwa wa ndoa ili kujiongezea status tu.

Wewe una matatizo ya "Status Anxiety" hilo ndilo tatizo la ugonjwa wa akili hapa kama hujui.

Umenibandika tatizo la ugonjwa wa akili kwa sababu nimempiga kibao mtoto wa rais wakati hujui hata nilikuwa na umri gani na muktadha nzima wa hiyo habari.

Kifupi una matatizo ya umasikini na ulimbukeni, halafu unafikiri kila mtu ana matatizo kama yako ya umasikini na ulimbukeni wakati wengine hatuko huko. Hatushobokei mtu kwa sababu ya familia yake, zaidi familia hizo tunaweza kuziona kama mzigo tu. Tushakaa nazo, tunayajua matatizo yake ya ndani ambayo wewe limbukeni huyajui.

You are basically a country bumpkin. To marry into these families will be your greatest achievement. Wakati wengine tunazijua hizo familia na nyingi tunaziona zina ushamba mwingi tu.

Sisemi kwamba your views are not valid, kwa sababu siujui umasikini wako. For your station, you might be right. But that is for your station. Right for a country bumpkin who wants status in town may not be right for a cosmopolitan.

Nasema wewe ni masikini na limbukeni na usifikiri kila mtu ana matatizo kama yako ashushe utu wake kwa sababu ya hicho unachokiita "royal family".

Wewe ni limbukeni tu, masikini, hususan wa akili.

Na mimi niko poa sishobokei mtu kwa kuwa ni "royal family" zenu feki hizo.

I just don't need to, my life is fine without that level of debasement.

Nilikuwa naitwa na balozi wa Tanzania niende nyumbani kwake kukutana na Kikwete, nikawa nampa udhuru, kwa sababu sikutaka kumu embarass balozi kwa kumuuliza Kikwete maswali magumu.

Sasa mtu kama wewe unayeshobokea hawa watu huwezi kuelewa.

Lakini mtu kama mimi niliyekula ma apples ya Miss Joan Wicken Ikulu kabla Kikwete hajafika Ikulu, maisha yangu ni tofauti sana na yako kiasi huwezi kuelewa mtu anaalikwa kukutana na Kikwete anakataa.

Hatuwezi kuelewana, tunaishi katika dunia mbili tofauti.
 
Definition yako ya kufanikiwa ya kilimbukeni usifikiri kila mtu anawaza hivyo. Wengine hawashobokei hizo familia na ndiyo kwanza wanaziona mzigo. Na hawana tatizo lako la "Status Anxiety".

Mimi katika maisha yangu zamani nishakuwa karibu sana na binti mrembo mtoto wa rais, akaniletea shobo, nikampiga kibao. Kuwa mtoto wa rais hakukumsaidia dhidi ya mimi kutotaka ujinga.

Na hizo habari za kutafuta mali sishobokei, kwa sababu hata kwetu zipo nimeridhika, mimi mwenyewe najua kutafuta sifakamii mali za familia ya watu.
This message is a serious mental issue , kupiga mtu kibao kwa kuwa unahisi amekushusha, a normal guy would ignore the lady sio kumpiga

Hata yule dada aliechomwa na magunia ya mkaa kule kigamboni,
Tuliwahi kumshauri huyu mume wako ni mental challenged na ana afya ya akili maana yule dada kila wiki anakuja Hospital uso umeharibiwa

Ukiuliza anasema nimepigwa na mule: we warned her

na mtu wa afya ya akili ni rahisi kuwa irritated kwenye simple discussion

Tatizo la afya ya akili ni kubwa na baadae jamaa aliua mke wake na kumchoma : lakini alianza pia kwa kumpiga kwenye mabishano yao ….over time aka develop brain dependence kwenye hiyo character mwishowe akaua
My very prescription kwako ni Mental therapy ,tena uwahi . USA kuna mental therapy clinic nyingi Sana
 
Wewe unaleta habari ya unachoamini wakati mimi naongelea fact.

Kumuoa mwanamke kwa sababu ni fursa ya kiuchumi ni ulimbukeni na umasikini, hususan wa akili. Ni kuitweza taasisi adhimu ya ndoa kuwa biashara.

Pia, ni namna fulani ya mwanamme kuogooa maisha mpaka kujishusha utu wake. Kimsingi kujioachika itumwa wa ndoa iki kujiongezea status tu.

Wewe una matatizo ya "Status Anxiety" hilo ndilo tatizo la ugonjwa wa akili hapa kama hujui.

Umenibandika tatizo la ugonjwa wa akili kwa sababu nimempiga kibao mtoto wa rais wakati hujui hata nilikuwa na umri gani na muktadha nzima wa hiyo habari.

Kifupi una matatizo ya umasikini na ulimbukeni, halafu unafikiri kila mtu ana matatizo kama yako ya umasikini na ulimbukeni wakati wengine hatuko huko. Hatushobokei mtu kwa sababu ya familia yake, zaidi familia hizo tunaweza kuziona kama mzigo tu. Tushakaa nazo, tunayajua matatizo yake ya ndani ambaye wewe limbukeni huyajui.

You are basically a country bumpkin. To marry into these famikies will be your greatest acjievement. Wakati wengine tunazijua hizo famikia na nyingi tunaziona zina ushamba mwingi tu.

Sisemi kwamba your views are not valid, kwa sababu siujui umasikini wako. For your station, you might be right. But that is for your station. Roght for a country bumpkin who wants status in town may not be right for a cosmopolitan.

Nasema wewe ni masikini na limbukeni na usifikiri kila mtu ana matatizo kama yako ashushe utu wake kwa sababu ya hicho unachokiita "royal family".

Wewe ni limbukeni tu, masikini, hususan wa akili.

Na mimi niko poa sishobokei mtu kwa kuwa ni "royal family" zenu feki hizo.

I just don't need to, my life is fine without that level of debasement.

Nilikuwa naitwa na balozi wa Tanzania niende nyumbani kwake kukutana na Kikwete, nikawa nampa udhuru, kwa sababu sikutaka kumu embarass balozi kwa kumuuliza Kikwete maswali magumu.

Sasa mtu kama wewe unayeshobokea hawa watu huwezi kuelewa.

Lakini mtu kama mimi niliyekula ma apples ya Joan Wicken Ikulu kabla Kikwete hajafika Ikulu, maisha yangu ni tofauti sana na yako kiasi huwezi kuelewa mtu anaalikwa kukutana na Kikwete anakataa.

Hatuwezi kuelewana, tunaishi katika dunia mbili tofauti.
🤣 haupo sawa kaka

Nimekupa prescriptions

Fanyia kazi
 
Kiukweli hajajiattach, he deserves… he earned it.
I can speak of a friend of mine too ambaye alipata nafasi kwenye prominent family , Rich one , The guy alikuwa anasoma sana vitabu, na magazeti , The citizen ,the guardian, Daily news , yaani when it comes to information alikuwa always front, na alikuwa na projects nyingi Tuu nyuma ya pazia pushing em solo.

Alikuwa Akifanya kama chinga ili kuaford hiyo lifestyle yake , mbele ya duka /ofisi ya hiyo family , Siku moja Binti wa hiyo family Akapendezwa na notebook ya mshkaji bila hiyana mchizi kampatia , friendship started there Sasa kumbe mdau alikuwa anaandika stories mle pia na alikuwa ameandika kuhusu bibie akimtumia kama Character , Her personality ilimvutia that was the start of their friendship ,.

Ah itaendelea kesho 😂😂😂😂
 
This message is a serious mental issue , kupiga mtu kibao kwa kuwa unahisi amekushusha, a normal guy would ignore the lady sio kumpiga

Hata yule dada aliechomwa na magunia ya mkaa kule kigamboni,
Tuliwahi kumshauri huyu mume wako ni mental challenged na ana afya ya akili maana yule dada kila wiki anakuja Hospital uso umeharibiwa

Ukiuliza anasema nimepigwa na mule: we warned her

na mtu wa afya ya akili ni rahisi kuwa irritated kwenye simple discussion

Tatizo la afya ya akili ni kubwa na baadae jamaa aliua mke wake na kumchoma : lakini alianza pia kwa kumpiga kwenye mabishano yao ….over time aka develop brain dependence kwenye hiyo character mwishowe akaua
My very prescription kwako ni Mental therapy ,tena uwahi . USA kuna mental therapy clinic nyingi Sana
Wewe limbukeni usiyejua spelling ya "loser" unaandika "looser" huwezi kuagua mental issue, tena ya issue ambayo hata huna muktadha wake.

Wewe ni mshamba unashobokea watu kwa kukimbiza status kama fisi

Jifunze spelling kwanza.
 
Hauko sawa wewe unayetaka kuolewa katika familia za watu kwa shobo za "royal family" ili upate status na pesa.

Ukiambiwa bong'oa watu wakupitie matakoni upate status na pesa utakataa wewe?

Au utaona ni fursa tu utakubali?
Nimeshakupa matibabu

Fanyia kazi Kiranga . Unatatizo la Afya ya akili in a serious note

You are mental challenged unknowingly

Tuliwaambia hata wasaidizi wa JPM kuwa mzee anatatizo la afya ya akili

Over time walikubaliana na sisi ; na mimi nakujulisha… ukiendeleza ego yako usiende clinic ni shauri yako but you are disturbed mentally
 
Wewe limbukeni usiyejua spelling ya "loser" unaandika "looser" huwezi kuagua mental issue, tena ya issue ambayo hata huna muktadha wake.

Wewe ni mshamba unashobokea watu kwa kukimbiza status kama fisi

Jifunze spelling kwanza.
🤣 nikikuambia unatatizo la afya ya akili bado unaona nakuzushie

una symptoms zote

Fanyia kazi kaka
 
Nimeshakupa matibabu

Fanyia kazi Kiranga . Unatatizo la Afya ya akili in a serious note

You are mental challenged unknowingly

Tuliwaambia hata wasaidizi wa JPM kuwa mzee anatatizo la afya ya akili

Over time walikubaliana na sisi ; na mimi nakujulisha… ukiendeleza ego yako usiende clinic ni shauri yako but you are disturbed mentally

Watu wenye sifa za kuagua matatizo ya akili, wanajua miiko ya kazi hiyo hairuhusu kuagua watu mitandaoni.

Wanaoagua watu mitandaoni, hawana sifa za kufanya hivyo.

Mwenyewe unaona unanibagaza lakini kiuhalisia bado unaonesha ulimbukeni wako tu.

Wewe ni limbukeni tu. Masikini, hususan wa akili.
 
Back
Top Bottom