Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

@ Kiranga anashida ya Afya ya akili muacheni;

Mtoto wa kiume anajadili na kususa,
Unajua mtu anaweza kua na bad mood.. alafu kaingia online wewe una mtikisa kama chupa ya coca-cola then unafungua kifuniko 😁😁😁 guess what will be happen

Mimi ni mara chache sana sanaa kupalulana na watu humu ndani wapo ambao Huwa tunapitana KAMA TUNA AGA MAITI.

By the way tuheshimiane na kujadiliana kwa heshima na tukubali kutokubaliana

🤣Sikuizi umeacha kuandika Ottawa mwisho wa thread zako
 
Wewe jamaa unanivutia una maarifa, ni eloquent and brilliant japokuwa tunapishana kwenye suala la kuwepo Mungu. Anyways, huoni kwamba kinachokupa ubavu wa kukataa royal family daughters ni kwa sababu unajiweza kiuchumi na tayari familia yako wapo vizuri? Vipi ungekuwa unatokea familia zetu za chini bado ungekuwa na hizo 'cojones' ?
 
Your name says it all. Megalodon = Magalomaniac Don.

"A megalomaniac is a person who has a wild love for power and control. They often think they are much more important, smart, or powerful than they really are"
Ukaenda kuni google
We mzee unazeeka vibaya
Kiranga is always right ! Hili ni tatizo la watu wenye afya ya akili halaf pia I Guess he is age GO

Ameshapoteza mental stability na idea zake za u much know

SASA kweli unapiga wanawake vibao kwa sababu unahisi amekushusha

Unaweka watu ignore kwa sababu unahisi wanakushusha kwa kukinzana na kile unachoamini

Fuatilia comments zake kwenye thread mbali mbali , ana dictatorship fulan ya mawazo iliyotokana na excessive ego
Pure symptoms ya afya ya akili

Jamaa sio mzima fuatilia vema
 
Miaka kumi na tano iliyo pita nilikua na option mbili nije dar es salaam nikiwa sina cha kufanya ila kwenye begi na vyeti vya taaluma

Kuna sehemu mkoa nilikua nafanya KAZI na Nika be introduced kwa kigogo mmoja wa chama na serikali nilikua namuhudumia mama yake mzazi na baba yake mzazi for sure walinipenda sana nidhamu, heshima na utii wangu na nilifanya kazi zao vizuri

Kichwani ile niliyo kua nafanya ilikua survival job nikawa na option niongee na yule mama ambae mtoto wake mpaka sasa ni kigogo ndani ya chama na serikali.

Issue ikaja Mimi ningeweza kujibu adjust na kuwa hata mfuta vioo au CHAWA MTIIFU ILI TU NIWEZE KUPATA DONGE..

Sikwenda kuomba nisaidie na ile familia nilicho Fanya ni ku quite survival job na kubeba begi kuja dar es salaam kujitafuta

Maisha sio mabaya.. today am here sijatoboa sana ila maisha Naya grade B plain napambana yawe B+ na ikifana niyafikishe grade A

NB. Mimi ni aina ya watu uki share a moment for life..lazima utaona potential zangu kwenye all sphere of life

min -me , hapa ndio nataka nianze kupiga konyagiiii ndogo moja
 
Safi sana mkuu, upande ile ya kati, moja ndogo ina vibe dogo bwashee
 
Inashangaza sna
Ubaya wa kulazimisha mtu kujifanya una mpenda mwisho wasiku ukipata unae mpenda lazima familia ya hao matajiri ikupeleke ile safari ambayo watu wakiendaga hawarudii

Nb. Yaani wakuangalie unanyanyasa mwanae na unatumia Mali zao ku spent na wanawake wengine wakuchekee , kwanza unakua mnyonge na usie na sautii
 
Mkuu pamoja na mambo mengi upo sahihi kwa mtazamo wako, maisha no safari ndefu sana.. unaweza kuyafanya kwa namna nyingi.. ndyo maana kuna wengine huamua kwenda kwa waganga wa kienyeji ili wafanikiwe, wengine kujiuza, wengine kuwa majambazi, kufanya uchawa(hii nadhani ipo tz) na namna nyingine...

Kiuhalisia mafanikio ya kwel yasiyo na masimango ni yale ambayo Umeyatafuta kwa jitihada huku ukimtanguliza Mungu... loyal family ni nzr! Ila ushawahi kuwaza humo ndani hyo mtu anaishije? Au unaangalia maisha nje ya box tu?

Nmewahi kumshuhudia kijana 1 akizuiwa na baba yake kuoa kwa hzo loyol family kwa sabb shart lilikuwa ni kubadili dili.. na bint alikuwa kafa kaoza, mzee akaweka mguu chini..


Kijana Kalia maana ilikuwa abadili dini.. mzee akamuita kijana kamweleza kuwa ukienda nenda ila hutokuwa na furaha milele Ile ya moyoni.. ila ukitaka kuishi kwa amani tafuta vyako uwe na usemi kwenye familia..


U know nini kilitokea dogo alidisapire mazima... and nmekuja kumwona baada ya kama 8yrs b+ life yake na mke mwingine kabisa.. na hajauacha ukiristo..


Angalia kwa yusuph yule aliyependwa na mke wa kiongozi mkubwa.. alichagua gereza kuliko mafanikio ya mda..

Mwanaume ameumbwa kwa kufanya kazi si kuonewa huruma.. unaweza kupoteza dignity yako kwa furaha ya mda mfupi..

Katika maisha haya Mungu ni kila kitu usimwache Mungu kwa chochote.. ila acha vhochote kwa ajiri ya Mungu..
 
Royal Family haihitaji tu mtu mwenye pesa, inaweza kuhitaji connections, competence, image, legitimacy au access kwenye jamii na networks ambazo wao hawana. Kwa kifupi, kila upande una kitu cha kuleta mezani.
hv mtu mwenye connections, network, access anawezaje kuwa maskin kiasi cha kuvizia girls from royal families? kwa nn asivitumie hvyo vtu kuukimbia umaskin?

alafu pia hakuna royal family isiyo na connection hadi ije itafute connection kwa masikini.
 
😃😃😃😃😃 mkuu umenyooka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…