StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kuiacha "dini ya Kikristo" ni rahisi sana lakini sio Kumwacha Kristo Yesu kwa sababu uchwara kama hizo.Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.
Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.
Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.
Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .
Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).
Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano
Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma
Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .
Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa
Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE
Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile
Shauri yenu
🤣🤣 endelea na huu mfumo dumeHii nadhani inawahusu wavulana mchele mchele (wazee wa kitonga)
Mwanaume hatakiwi Kujishusha Kwa mwanamke ili apate kitonga/ulaini wa Maisha.
Upo sahihi na hapa tunazungumzia probability na sio utabiriI doesnt work all the time, ni combination of perfect timing, luck na akili
But even if you wont make it connection ya kutoboa utabaki nayo kubwa
Hahaha,Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile
Nakazia Utakuwa Mume Bushoke TuFormula iko vizuri, lakini ukizubaa utakuwa mradi sio mume.
Stop deluding yourself …. Raha ya milele ulishawahi kuiona ? Kuna alienda na kurudi na kukupa evidence ? Is there any prophet, saint or Guru alienda na akakuletea evudence?Ukiacha
Kuiacha "dini ya Kikristo" ni rahisi sana lakini sio Kumwacha Kristo Yesu kwa sababu uchwara kama hizo.
Siwezi kuacha vya milele kwa sababu ya vya muda mfupi.
Nahitaji watu ambao Mungu atanipa na sio watu ambao Mimi nitalazimika kujipendekeza kwao kama kupe au chawa!
😹Maisha siku hizi watu wanaviziana sana! Mwanaume anaangalia binti ana nini, katoka wapi. Na binti anamuangalia mwanaume ana nini, ana future gani! 😊
Sio ajabu madogo hawaoi siku hizi!
Anaeuziwa cheni anauziwa cheni bandia, anaetoa hela anatoa hela bandia. 😊
Wasukuma tunaenda kutombea ikulu ya Kenya.Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.
Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.
Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.
Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno .
Kuna yule kijana alioa mtoto wa JK, alikuwa ni mkiristo na familia ilimwambia abadili dini wampe mtoto . Msela hakurudi nyuma na kwa sasa yupo na familia yake ananyonya mirija ya maisha na watoto wanasoma high class education and international baccalaureate ( IB).
Kuna yule kijana wa kiarusha, ameoa mtoto wa Mwinyi , nae akaambiwa kijana ingia kwenye Islam tukupe mtoto , kijana wetu amekupenda. Kijana hakuomba ushauri kwa yoyote…. Ameingia kwenye Uislam na now ananyonya mirija ya maisha na top connection na viongozi wote wa nchi…. Dini itakusaidia nini kwa mfano
Now tumeona kijana wa kisukuma ameweza penetrate kwenye royal family na ameshapata top government connection as we speak . Kijana hajaangalia Rangi , sura wala tako . Mtoto wa Ruto kichwani yupo vema sana and comes from prime family…. What a maturity kutoka kwa kijana wa kisukuma
Vijana wa kiume angalieni namna ya kuji attach kwenye maisha , education alone haitoshi ….connect your self na usirudi nyuma .
Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa
Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA na POMBE
Kuna matajiri hapo bongo watoto zao wa kike wapo vema tu but hawajaolewa….. weka mitego kijana…. Nenda sehemu wanazokwenda … get connection and show discipline
Mafanikio hayatafutwi , yanategwa kama unavovua samaki vile
Shauri yenu
Leo hii wadogo zangu wanafundishana kudanga......
We umejuaje mkuu hakufata dudu?🤣🤣 endelea na huu mfumo dume
Utachelewa snaa
Hakuna Tatizo kuingia sehemu iliyofanikiwa
Kama una elimu maana yake unaenda kuboresha life bila jasho
Acha mfume dume
Wanawake pia ni Channel za mafanikio kama ilivyo kwa wanaume kwa wanawake
Si unaona risk taker za wadada. Wanaolewa hadi na wazee… mtu kama Jackline ulidhani alifuata dudu kwa Mengi
She was strategically na sasa anakula pension tu
Amka
Msomi huyu anatafuta ajiraNatafuta Ajira what's up!
Acha wazee wa kuteleza waendelee kudandia mafanikio ya familia nyingine.Hii nadhani inawahusu wavulana mchele mchele (wazee wa kitonga)