Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Daah aisee tutakoma sie wapenda makalio
 
Kwa minajili hiyo nani atakuwa ameoa?
 
Oa au Olewa na unaye mpenda achana na mawazo hayo. Ruto alimwoa mke wake wakitokea chini sana lakini saivi ni Raisi wa Kenya maisha yanabadilikaga yenyewe. Fanya kazi omba Mungu you never know utakua nani au huyo mwenye maisha ya chini unayemwona atakua nani. Maisha hayana formula, tumia akili zako vizuri.
 
Kuna dada mmoja mtandaoni juzi aliletewa story na binti, huyo binti alisema alikua kwenye mahusiano na mwanaume, akamwambia huyo mwanaume yeye kwao ni first born wadogo zake wanategemea na analipa mkopo ambao mama yake aliuchukua..

Huyo mdada baada ya kumwambia ivo huyo mwanaume, mawasiliano kati Yao yakapungua mwisho wa siku akaona WhatsApp status ya mwanaume, mwanaume ameoa kwingine.

Mwanaume aliona huu ni umaskini akamkimbia mdada, noma sana, watu hawataki kuji-sacrifice kwa wenzao, wanawaza tu watafaidikaje Chivundu
 
Yule msukuma alishakuwa na connection kubwa Sana kabla ya kuwa na Charlene Ruto.
Tayari alishaona tundu la maisha alisha toboa.
Kifupi familia ya Rutto watafaidika na msukuma na yeye atafaidika na familia ya Rutto.
 
Aise watu tunatofaytiana yaani mie kuoa mwanamke mbaya eti kisa ana akili au katokea familia ina hela hilo wacha nife fukara but nope naoa mwanamke mzuri maana furaha yangu mie kama mwanaume ni kukojolea pazuri.
 
Kwa minajili hiyo nani atakuwa ameoa?
Ukisoma story ya mtume wako Muhammad utaelewa

Alioa familia ya HADIJA
Alijiattach kwenye ulaji pia

Historians admit kuwa baadhi ya ndoa za Muhammad zilikuwa ni kujiattach na higher families

Code za maisha unazo
Ili ufanikiwe ondosha uoga kwanza
na jifunze kujiamulia mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…