Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Date strategically, sio una date sababu mtu anajua kula koni….au kuifinyia sijui kwa ndani ….mambo ya ajabu kabisa

Watoto wa kiume kwa sasa ni dili , position yourself ….. Usiwe kijana wa hovyo unaeshinda kwenye SHISHA, MIBANGE, VIGODORO, VIBAO KATA na POMBE
 
 
Wadanganye wenzio! 😅
 
Tumeona wanawake wengi wakitusua kwa njia hii, why not na sisi tusifollow a winning formula?🤗
yupo mwana mmoja alisoma sheria , kataabika sana kitaa

Some days kwenye jumuiya yao akakutana na mdada wa kiafrica anaishi Canada . Huyo dada is above 40 alikuja kiimani hapo bongo , kwenye jumuiya ya Imani yao aka meet na kijana wa 26 na akamuelewa .

Dada basically aka propose kwa dogo …siunajua wadada wa nje hawana konakona, jamaa alikuwa na umbo za watu wa mara, haonekani kama ni yupo kwenye his 20s

Msela chap akijiattach…. Msela hakuwa hata na passport ana shinda church na dégree yake ya sheria . Wakati dada anaondoka, alipofika huku akamtumia invitation… chap jamaa akaomba pass port , chap akaingia Canada , in few months jamaa akafisha mtu pete , next month ndoa

Ndoa ikafanyikia Canda na now ni mke na mume na tayari wana mtoto 1

Jamaa chap kajiebdeleza kidogo huku na kapata kazi kwenye kampuni kubwa tu

Last two months alimuita baba ake na mama ake kuja kumsalimia mjukuu
Jamaa akawa amechana buswati la umasikini na kuwafikisha wazazi wake ulaya;

Life need ujasiri na ujiamulie mambo

Jua namna kutambua fursa , usijifunge na mentality za walimungwe, baadhi ya mambo huja once katika namna isiyokawaida

Angeanza kusema umri sijui nini
Angepiga kinanda church na degree yake na angepata mlokole mwenzie na kujiaminisha kwenye vitu ambavo would never solve his povertness

Amkeni
 
Leo hii wadogo zangu wanafundishana kudanga......
Ni kawaida yao 😂😂😂😂 Kwa asiyewajua baadhi ya wanaume labda atapata shida.

Growing up nimelelewa na mama mwanasiasa, nilikuwaga nashangaa speed ya vijana kunikatia, 🤣 at early age nikagundua wala target si mimi bali mama mkwe, wengi wao walikuwa na interest na siasa na walikuwa wanatafuta “m-banga” the earlier i knew this huwa nashangaa sana kelele za wanaume humu 🤣

However; wanachokifanya sio ajabu, women have been doing this for ages .
 
Wabongo ni wagumu sana kuelewa. Ipo hivi mkuu, point ya kuchukua hapa ni kwamba sio kila mtu aanze kuvizia hao watoto wa vigogo. Katika level yoyote uliyopo lenga mwanamke ambae anakuja na valuable contribution kwenye maisha yako
 
All the best
 
Mpaka umfikie huyo mtu wa familia ya royal maana yake hata ww haupo kinyonge, refer kwa huyo msukuma, CV haipo kinyonge.

Anyway, mm siwez kuwa na single mother ila nikipata anayejiweza ah fresh tuu najiweka hapo
 
Mafuta na Maji ya upako Mimi ya nini?. Mkuu Mimi sijakataa connection lakini connection ya kunipeleka kuzimu hata kama itanifanya niishi kifalme hapa duniani siihitaji. Nina macho yanayoona!
Aliekuambia unaenda kuzimu Nani

Ndio maana mm huwa sisaidii mtu hela kwa maana kuna watu na masikini by nature
Hata kwenye fursa yeye atasema huu mtego wa shetan

Utamuuliza uliwahi kumuona shetan wap

Atakupa habari za kufikirika

These people are born poor , you can’t help
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…