Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

Unafikiri watu wote magenius au waliofaulu zaidi kuliko wengine kote duniani ndo matajiri wakubwa???
Hapana kabisa mkuu
Ila angalau kwa wenzetu huko unakuta wana gari nzuri na angalau makazi mazuri
Hapa kwetu wengi mshahara ni less than 1m
Na daladala daily inawahusu yani in short hapa bongo na africa,hali yao sio nzuri

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Ni the same sasa hata kwenye sehemu nyingine..kwamba hata kibarua wa ulaya kwa masaa sita anaweza pata $45,ila huku bongo masaa kumi akapata $4
 
Kwa Mara ya kwanza leo nimesoma Uzi na comment almost zote, mchuano umeonekana kua mkali sana na bwana Eng kama mzani umepwaya...kujibu hoja chache na kuacha zingine ni dalili za ukweli Wa tuhuma, na nimeona;

1.Nikupongeze kwa ufaulu mzuri na ushauri mzuri kwa wadogo zetu mashuleni ushauri wako utawasaidia sana kama wakibahatika kuusoma.

2. Chukua kama changamoto hilo swala la uchumi kapambane hakikisha unafanikiwa ili kupunguza fedhea hizi kwa wasomi sisi japo Mimi huwa sifaulu sana kwakwel mdogo mgogo lakini nasonga. Hizo akili ulizokua unatumia kutafuta A's hamisha kitaa utatusua.
 
PUMB$####VU sana wote wanaoponda wasomi.....iyo divisioni wani ata mi nlikua naitakaga,,,ila cjawahi bahatika mpaka namalza..hongera man..mbinu iyo ntampaga chalii wangu akaoshee.......ila NB; one ya tatu weka pembeni...TAFTA A LOT OF MONEY..haiwezekani tukadharauliwa na MAPUKAPUKA
 
Haahahahahahahah we jamaa umenichekesha sana
 
Duui anakuona ujue...
 
Watu wana wivu khaaa hahaa yani watu mapovu yamewatokaaa.. Hii inasaidia wanaosoma na siyo waliofanikiwa mtaani.
Hakuna anayemuonea wivu huyu jamaa but ni kwa kuwa ni mwingi wa habari ndo maana anapigwa mawe maana ushauri wake upo bias na umejaa aina flani ya kujivuna.Mbaya zaidi unaposhindwa kutumia elimu yako katika mazingira halisi ya kimaisha basi unakuwa umepoteza lengo zima la kusema na huko kufaulu yaani bora ungebaki kwa bibi unachunga MBUZI tu.Sasa ww graduate wa First class leo hii Mara sijui KUBET,Mara Kuchukua MKOPO wa 5M kisha aache kazi na matakataka mengine mbona haviendani kabisa na hadhi ya graduate wa level hiyo?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…