Vijana mnakwama wapi? Kuna kijana nilimuunganisha ajira hata asante hajanipa anataka nimtafutie ajira sehemu nyingine sasa

Hukukidhi vigezo au kuna kitu hakiko sawa kwenye profile yako.
Kila anayemeet qualifications lazima aitwe
Acha nikae kimya tu mkuu
Kwa hii nchi Kuna kukidhi vigezo?nimeona mengi sn.
Wasio navyo vigezo wanapata wenye vigezo wanakosa.
Btw sio kwamba sijawahi itwa
Huwa tunaitwa ile nyomi ila ni usanii tu
 
Muungwana akivuliwa nguo huchutama kwa kweli alitakiwa akushukuru sana sana sana asiyemshukuru binamau mwenzake hata Mungu hamshukuru .Be carefull si mtu mzuri huyo sasa ndio unamuona the true colour alivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…