Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ya dodoma banaMtoto wa professor Mjema au
Sio hapa Town 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya dodoma banaMtoto wa professor Mjema au
Possibly utakua umesomaYa dodoma bana
Sio hapa Town 🤣
🤣🤣Mh humu unaweza weka kitu Kwa uzuri watu wakajifanya wanakujuaPossibly utakua umesoma
BPS
BAC
BE
IT
BA
Haya mama la mama Mutu ya yesu graduate ya marketing🤣🤣Mh humu unaweza weka kitu Kwa uzuri watu wakajifanya wanakujua
Ngoja nisisene
Mtafutie, kwani mpaka akwambie kuwa alikuombea baraka kwa mungu wake ili uendelee kuwa daraja la wengine?Hello!
Huyu dogo kama atakuwa humu atasoma bandiko hili maana si baya kivile.
Imepita mwaka sasa tangu nimuunganishe kwenye ajira (sekta binafsi) kama dereva wa malori. Kampuni kubwa tu hapa Bongo. Anapokea around 500k -800k kwa mwezi.
Sasa ile stori na wenzake anapata kujua fursa zaidi kwenye kampuni zingine.
Si unajua stori za wafanyakazi kupenda kuambiana sehemu B wako vizuri kimaslahi.
Lengo langu si kutazamia malipo kwake, nilimsaidia tu , kilichonishangaza bado anataka tena connection kutoka kwangu anashindwa kujisimamia afike huko anakowaza.
Sasa akisikia kuna sehemu wanalipa vizuri zaidi ananipigia simu kutaka nimuunganishe ajira huko.
Mtu alikuwa juu ya mawe umemfanyia mpango hajakumbuka hata ile brother Asante kilo ya sukari hii hapa unywe chai na watoto leo anataka umpigañie sehemu nyingine.
Ikumbukwe huyu dogo hatuna undugu , nilidanhanya ni mtoto wa dada yangu ili apate ajira maana ningesema mdogo wangu majina yangeumbua.
Sikuhitaji malipo, nilikuwa nikimpa kampani ndogo ndogo kabla hajaajiriwa. Hata alipoajiriwa kuna siku alikwama akaomba nimkopeshe pesa kidogo atalipa mwisho wa mwezi. Nikamtumia pesa zaidi ya aliyohitaji na nikamwambia siwezi kukukopesha nakupa tu free, si vyema tuishi maisha ya kukopana fedha. Leo kanitext nilijua anataka anishukuru arudishe kiutu uzima ile pesa niliyomtumia kumbe anataka nimpigabie ajira ofisi fulani ya umma.
Nadhani hii tabia ya kutojielewa sijui ni mazao ya origin ya mtu. Watu wa kusini shukrani kwetu ni kitendawili.
Ok . Badala ya kujipambania sasa unataka ubebwe tena.
Note: Mimi si dalali wa ajira na sihitaji pesa ya mtu . Nimezungumza tu kijana lazima uwe na akili timamu katika utafutaji wako wa maisha.
Possibly utakua umesoma
BPS
BAC
BE
IT
BA
😅😅😅Haya mama la mama Mutu ya yesu graduate ya marketing
We unamsikiliza Lamomy nae, sema njoo huwezi lala njaa...tupige makofi na kuimba ili wateja wanunue mitumba 🎶 haya haya elfu mbili elfu mbili🎶😅😅😅
Nakufuata pm nimeona comment zinasema una maokoto
Nije tushinde wote kko
Ht sio marketing
Amepotea kama Mbosso?Anatafutwa Mtu hapa ajichanganye😁
Yeah wengine hawanaga shukrani
😅Mi nakuombea tu ,wakati wengine wanatumia ndumba we Yesu atakupiganiaWe unamsikiliza Lamomy nae, sema njoo huwezi lala njaa...tupige makofi na kuimba ili wateja wanunue mitumba 🎶 haya haya elfu mbili elfu mbili🎶
Huyo dogo kiazi sana. Hajui kuishi na watu na hatoenda zaidi ya hapoHello!
Huyu dogo kama atakuwa humu atasoma bandiko hili maana si baya kivile. Imepita mwaka sasa tangu nimuunganishe kwenye ajira (sekta binafsi) kama dereva wa malori. Kampuni kubwa tu hapa Bongo. Anapokea around 500k -800k kwa mwezi.
Sasa ile stori na wenzake anapata kujua fursa zaidi kwenye kampuni zingine. Si unajua stori za wafanyakazi kupenda kuambiana sehemu B wako vizuri kimaslahi.
Lengo langu si kutazamia malipo kwake, nilimsaidia tu, kilichonishangaza bado anataka tena connection kutoka kwangu anashindwa kujisimamia afike huko anakowaza.
Sasa akisikia kuna sehemu wanalipa vizuri zaidi ananipigia simu kutaka nimuunganishe ajira huko. Mtu alikuwa juu ya mawe umemfanyia mpango hajakumbuka hata ile brother Asante kilo ya sukari hii hapa unywe chai na watoto leo anataka umpigañie sehemu nyingine.
Ikumbukwe huyu dogo hatuna undugu , nilidanhanya ni mtoto wa dada yangu ili apate ajira maana ningesema mdogo wangu majina yangeumbua.
Sikuhitaji malipo, nilikuwa nikimpa kampani ndogo ndogo kabla hajaajiriwa. Hata alipoajiriwa kuna siku alikwama akaomba nimkopeshe pesa kidogo atalipa mwisho wa mwezi.
Nikamtumia pesa zaidi ya aliyohitaji na nikamwambia siwezi kukukopesha nakupa tu free, si vyema tuishi maisha ya kukopana fedha. Leo kanitext nilijua anataka anishukuru arudishe kiutu uzima ile pesa niliyomtumia kumbe anataka nimpigabie ajira ofisi fulani ya umma.
Nadhani hii tabia ya kutojielewa sijui ni mazao ya origin ya mtu. Watu wa kusini shukrani kwetu ni kitendawili. Ok . Badala ya kujipambania sasa unataka ubebwe tena.
Note: Mimi si dalali wa ajira na sihitaji pesa ya mtu . Nimezungumza tu kijana lazima uwe na akili timamu katika utafutaji wako wa maisha.
Huyu dogo hatoboiHuyo dogo kiazi sana. Hajui kuishi na watu na hatoenda zaidi ya hapo
Usiku wa tar 13 ntakualika uje tufanye maombi ya mkesha maskani 🤣😅Mi nakuombea tu ,wakati wengine wanatumia ndumba we Yesu atakupigania
KhaaaaUsiku wa tar 13 ntakualika uje tufanye maombi ya mkesha maskani 🤣
Dogo amekupa Cheo kikubwa sana wewe anakuona km godfather, sasa haya unayoyasema hapa inabidi umweke chini umweleze akipata Pesa anunue hata Sukari au kilo ya nyama akuletee akishindwa basi hata fungu za nyanya na vitunguu au viazi mviringo au Samaki wabichi akuleteeLeo kanitext nilijua anataka anishukuru arudishe kiutu uzima ile pesa niliyomtumia kumbe anataka nimpigabie ajira ofisi fulani ya umma.