Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
Yeye anajitegemea huko kwake na Mimi nina maisha yangu. Ni mke wangu pekee anayejua kuwa nimemsaidia kupata ajira. Hata ndugu zake hawajui nani kumsaidia.Huyo dogo kakosea. Ila sasa na wewe usitumie wema uliomfanyia kama fimbo ya kumchapia yaani akifanya kitu kidogo unaanza sii mimi ndio nilinsaidia inaudhi sana tubadilike
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Sijawahi kumsema vibaya, tunaongea vizuri tu.
Kilichoniboa mpaka kuleta Uzi huu na ninawaza nimwambie wiki Moja au mbili alinikopa pesa nikamwambia siwezi kukukopesha nakupa tu. Tusiishi kwa kukopana. Nikamtumia zaidi ya alichokopa, leo kanitext nilijua anataka kuituma ile pesa kumbe anataka nimpigabie ajira mahali.
Huyu ana akili kweli?
Si mtoto wangu
Si ndugu yangu
Nampa njia mjini anataka nimpeleke mbali zaidi huku hata padogo kashindwa kusema Asante