Vijana mnaofuga ndevu hamna pesa

Vijana mnaofuga ndevu hamna pesa

Rutto
IMG_1054.jpg
 
Wanasumbua sana halafu waharibifu Kuna dogo kazaa na wanawake watatu mpaka saizi yaani ana watoto watatu kwa wanawake watatu wakati huo kula yake mwenyewe inamshinda
Dar mama Hilo [emoji81][emoji58][emoji3467]
 
Asikwambie mtu unyoe upara/shortcut/madenge,halafu udevu uupulizie na blonde blich hair....

Halafu una idrissultan shoe,,suit dont touch my shoe.halafu namba umeomba na iphone x..

Kwanini wasibebe mimba mzee
 
Mbali ya kuwa ndevu humfanya mwanaume avutie zaidi kwa mwanamke, pia Ndevu ni utambulisho wa mtu kuwa ni wa heshima kwa mwanamke. Vile vile mwanaume mwenye ndevu ujue busara na hekima vipo karibu yake.. kwa kuongezea mkuu mtoto anayenyonya hupapasa videvu vya wazazi wake usiku ajue yupi mwenye manyonyo hahaha sasa we sijui una hali gani na tena wanaume ambao hawana ndevu ni wambea balaa..
 
Mwanaume unaanzaje kufatilia mambo ya mwanaume mwenzako...

Tena asubuhi hii hata chai hujanywa
Kama Mwanaume aliyekamilika hapendi ndevu si kuna Vichocheo vya Kike vinamsumbua.. Angekuw wa Kike ningesema labda ana Dalili za Mimba changa.
 
Back
Top Bottom