Vijana mnaofuga ndevu hamna pesa

Vijana mnaofuga ndevu hamna pesa

Cyril Ramaphosa
IMG_1066.jpg
 
Ameliwa demu wake na mtu mwenye ndevu afu hana pesa ndevu tu mke wa mwenye hela akaliwa hahahaha shame on you
 
Unaonekana unabeef sana na wenye ndevu, au wameshakupiga tukio kipindi hiki cha sikukuu?
 
Mimi nafuga
Hila sijichubui
Hila napendwa
Af natongozwa sana na wadada mpka nawachoka
Nakula mbusus za wamama
Lakini pia ni muoga
 
Mimi ninachofahamu wanaoishi ndani ya mifumo huwa lazima wafuate taratibu za mfumo(system) na wanatengenezwa ki(uniform)

halfu Kuna wanaume wameamua kuishi maisha yao vile wanataka aidha upende ama usipende,kuwa na Afro ama ndevu ni ishara ya uhuru,ishara ya kufanya unachotaka ,ishara ya kutopangiwa mambo...lakini Hii kwa wenye kujua maana hayo ya hawana hela [emoji16],kujichubua sijui hayo Yako ...Angalizo angalia wapiganaji wengi WA haki za kibinaadamu (wapigania uhuru ambao sio kwa kutaka madaraka walikuwa na ndevu ama la!!wengi walikuwa na ndevu na nywele)# mjingahawezikuelewa
 
Back
Top Bottom