Mimi ninachofahamu wanaoishi ndani ya mifumo huwa lazima wafuate taratibu za mfumo(system) na wanatengenezwa ki(uniform)
halfu Kuna wanaume wameamua kuishi maisha yao vile wanataka aidha upende ama usipende,kuwa na Afro ama ndevu ni ishara ya uhuru,ishara ya kufanya unachotaka ,ishara ya kutopangiwa mambo...lakini Hii kwa wenye kujua maana hayo ya hawana hela [emoji16],kujichubua sijui hayo Yako ...Angalizo angalia wapiganaji wengi WA haki za kibinaadamu (wapigania uhuru ambao sio kwa kutaka madaraka walikuwa na ndevu ama la!!wengi walikuwa na ndevu na nywele)# mjingahawezikuelewa