Vijana Mnaotafuta Ajira jifunzeni kuwadanganya walinzi!!

Vijana Mnaotafuta Ajira jifunzeni kuwadanganya walinzi!!

Mpaka muda huu, nimepeleka cv sehemu 5, sehemu 1 nimepeleka ofisini kabisa halafu hizo 4 ndo nmepambana na walinzi
Jitahid upenye mwenyew mkuu,usimwamini mlinzi hata kidgo japo sio wote,na kuna baadhi ya wakurugenzi ukiweza ku meet nae personal ni watu wazuri mno,na ita add sympathy pia
 
jitahid upenye mwenyew mkuu,usimwamini mlinzi hata kidgo japo sio wote,na kuna baadhi ya wakurugenzi ukiweza ku meet nae personal ni watu wazuri mno,na ita add sympathy pia
Sasa nani atakuruhusu umuone mkurugenzi.? mwisho wa siku kuacha cv kwa mlinzi ni kwamba huna jinsi inabidi iwe hvy hasa kama huna connection
 
Sasa nani atakuruhusu umuone mkurugenzi.? mwisho wa siku kuacha cv kwa mlinzi ni kwamba huna jinsi inabidi iwe hvy hasa kama huna connection
Kama kwel upo desperate na kazi basi kuonana na mkurugenzi kwa njia za panya ni nyingi mno,kaa ata getin msubiri kama alivyofanya jamaa apo juu
 
Naona ni mda sasa wa kuwa na Employment agencies kibao ili kusaidia watu wanaotafuta ajira.

Haya mambo ya kwenda ofisini yangekuwa historia.
 
mlinzi na reception wana maswali utazani shida zako unamalizia pale kwao.walinzi mlio jiunga na jf na reception amjui nani hata wazika
 
Kuna miaka flani nilienda kuomba kazi katika bank falani sita itajaa maana muhusika atakuwa humu,basi Nika mkuta mdada na mkaka pale Kama customer care,nikawaeleza dhumuni langu chaa ajabu wakaniambia niache barua yangu na CV kwao,wakati mi nilikua nataka kuonana na hr,basi wakaweka vigisu sikua na namna niaacha,basi ikapita kama week mbili nikafanya follow up,wakaniambia washa mpaa hr,kwa vile hr nilikua nafahamiana nae personal nikavuta wayaa,VIP mwambaa umepata barua na CV zangu jamaa akaniambia hajapewa kitu,nikamuelekeza nilimpa Nani akaniambia hao huwa wanakunja Sanaa,akanitumia email chap nikatuma.baada ya week nikaitwa interview haikuwa inafanyika pale ofisini,bahati nikatusua nikaambiwa nikareport jtatu asubui(Kama customer care manager)jtatu huyoo na kasuti kanguu ka fundi kabadi,nikawa nasububiri mwenyeji wangu aje!jamaa alivyofika akaitisha kikao na kuni introduce hahhaah walee watu nilikua na waangalia naona kabisa wanaona aibu,mi sio mnafiki baada ya kiwazoea nikawaita nikawapa makavu face to face,walikiri na kuomba radhi nikawaambia katika uwongozi wangu staki kuona hicho kitu.rizik ya mtu huwezi kuizuia Ila utaichelewesha tu

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom