Kuna miaka flani nilienda kuomba kazi katika bank falani sita itajaa maana muhusika atakuwa humu,basi Nika mkuta mdada na mkaka pale Kama customer care,nikawaeleza dhumuni langu chaa ajabu wakaniambia niache barua yangu na CV kwao,wakati mi nilikua nataka kuonana na hr,basi wakaweka vigisu sikua na namna niaacha,basi ikapita kama week mbili nikafanya follow up,wakaniambia washa mpaa hr,kwa vile hr nilikua nafahamiana nae personal nikavuta wayaa,VIP mwambaa umepata barua na CV zangu jamaa akaniambia hajapewa kitu,nikamuelekeza nilimpa Nani akaniambia hao huwa wanakunja Sanaa,akanitumia email chap nikatuma.baada ya week nikaitwa interview haikuwa inafanyika pale ofisini,bahati nikatusua nikaambiwa nikareport jtatu asubui(Kama customer care manager)jtatu huyoo na kasuti kanguu ka fundi kabadi,nikawa nasububiri mwenyeji wangu aje!jamaa alivyofika akaitisha kikao na kuni introduce hahhaah walee watu nilikua na waangalia naona kabisa wanaona aibu,mi sio mnafiki baada ya kiwazoea nikawaita nikawapa makavu face to face,walikiri na kuomba radhi nikawaambia katika uwongozi wangu staki kuona hicho kitu.rizik ya mtu huwezi kuizuia Ila utaichelewesha tu
Sent from my TECNO B1p using
JamiiForums mobile app