Vijana Mnaotafuta Ajira jifunzeni kuwadanganya walinzi!!

Niliwahi kumchek mhusika kupitia Twitter na Instagram lakini bado ikawa ngumu mana hakujibu chochote, kwa ufupi ni kwamba sina njia nyingine labda hy ya kumsubiri getini sasa kama ana gari na hua anapaki ndani ya jengo cjui ntampataje
 
Hatari sana na inasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Hivi mnajua siku hiz walinz wengi ni form four japo six mpka diploma & bachelor's wapo ..

Namaanisha uenda bado tunayo ile hulka ya kila mlinz ni popoma[emoji23]

Na Sisi pia Tubadilike!!! Nakupa mfano jenga uhusiano mzuri na walinz hata wawili tu!! Hawatakunyima info za ofisin!! Hapo!!
~Jishushe"" kwao...ikibdi ... I swear watakupa muongozo mzur! Mnoo!!!

Ikibid anakufikisha mpka kwa Hr...na boss!!!
.....Mambo yenu ya dharau dharau hayo!!!!

N.B
Usimchukulie mtu alivo kutokana na Alichonacho[emoji4]
 
Kwa mtu ambaye anaishi Mbalali atajengaje urafiki na mlinzi aliye Mbeya mjini.? Namaanisha mtu aliye mbali na sehemu ambayo anataka kazi atajengaje urafiki na mlinzi.?
 
kwel kunaweza kukawa na "order"kutoka juu lakini,ukionana na Mkurugenzi anaweza akakufananisha na mpendwa wake mama/baba yake au ndugu hivo ukapata special treatment,kingine ata maelezo yako na muonekano unaweza ukamgusa akakuhurumia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niliwahi kumchek mhusika kupitia Twitter na Instagram lakini bado ikawa ngumu mana hakujibu chochote, kwa ufupi ni kwamba sina njia nyingine labda hy ya kumsubiri getini sasa kama ana gari na hua anapaki ndani ya jengo cjui ntampataje
Mkuu wewe hujaelewa nini cha kufanya hapa.
Sio kumcheki social media.
Fanya hivi, umepata jina lake kamili na unajua ofisi zake ziliko. Nenda hapo, waambie Walinzi mimi namtafuta flani kwa kutaja jina lake ikiwezekana na anakotokea (endapo walinzi wanajua) itakurahisishia sana. Akikuuliza una appointment naye, sema ndio. Usiogope!!
Connection inayozungumziwa hapa sio ya kwenye social media.

Nakumbuka kipindi tuko hapo Chuo kikuu tukiwa na shughuli inayohitaji mgeni rasmi mkubwa kidogo, mbinu ilikuwa kuchunguza ana sali/swali wapi. Jumapili au Ijumaa mnamuibukia hapo, mara baada ya Ibada mnamuibukia kwa heshima kabisa na maeneo hayo huwa hawachomoi kabisa lazma akupe appointment. Mambo yanakuwa rahisi, tumekutana na ma CEO nwengia Watu wenye vyeo vikubwa kwa njia hii, hadi makatibu wakuu wa ma wizara kwa mbinu kama hii.
 
Sawa
 
NImereply sababu ya mfanano wa simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…