Nyoosha maelezo mzeee, kwahy unaandika hvy ili nije tena kukuuliza n madhara gn kwan unashindwa kunyoosha maelezo mwnyw?Madhara ni makubwa
Kila mtu ana uhuru wa kufanya kile kinachompa furaha na amani.
Acha wavute.
Wacha wee!!Unafaa uwe raisi wa ma gen z kiongozi
Google mzee sio kila kitu utafuniweNyoosha maelezo mzeee, kwahy unaandika hvy ili nije tena kukuuliza n madhara gn kwan unashindwa kunyoosha maelezo mwnyw?
Weka humu 🗑️Google mzee sio kila kitu utafuniwe
shughulisha ubongo
Angalia wanaovuta Bangi hapo mtaani kwako utajua Madhara
Au wee unasemaje?Aise
Achana na bangi mkuu Fanya nyako .Shida ni nini
Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
Don't askKila mtu ana uhuru wa kufanya kile kinachompa furaha na amani.
Acha wavute.