Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Shida ni nini
Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
Shida ni nini
Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
Mbona hatujaadhirika mkuu, au wewe unawaongelea kina nani!?Google mzee sio kila kitu utafuniwe
shughulisha ubongo
Angalia wanaovuta Bangi hapo mtaani kwako utajua Madhara
Makasiriko + genye 😂😂Hapa kuna wazinzi, walevi,waongo, wanafiki, wadhulumishi,
Lakini watumiaji wa bangi tunaonekana kama ndo tunakosea tu.
Nasema “"Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kunitupia jiwe.” 😎
Kila raia akizingua utaskia “bangi hizo” wakati si kweli.Makasiriko + genye 😂😂
Mkuu hapo unachokifanya ni kama kuja kunihadithia madhara ya Nuclear Weapon... Hujawahi kuitumia,kukudhuru ama kuexperience chochote kuihusu.Alieathirika hajijui
Lakini wewe unabeba tofali kabisa kumtupia shoga.Hapa kuna wazinzi, walevi,waongo, wanafiki, wadhulumishi,
Lakini watumiaji wa bangi tunaonekana kama ndo tunakosea tu.
Nasema “"Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kunitupia jiwe.” 😎
Mpaka sasa hujasema neno😁
Nachukia sana hii mambo... Mara mtu amuone kichaa utaskia bangi hizo... C'mmon mf'sKila raia akizingua utaskia “bangi hizo” wakati si kweli.
Ndio uhalisia huo mzee alieathirika na Bangi hajijui,Mkuu hapo unachokifanya ni kama kuja kunihadithia madhara ya Nuclear Weapon... Hujawahi kuitumia,kukudhuru ama kuexperience chochote kuihusu.
wapi nimesema furaha yangu inaletwa na kusali?Kama furaha yako inaletwa na kusali focus huko huko...