Vijana mnavuta Bangi kwa kasi sana

Vijana mnavuta Bangi kwa kasi sana

Ile umetoka kumoka unaingia JF unakutana na huu Uzi. Nyie endeleni kusengenyana Sisi tutanyonya moto hadi Yesu atakaporudi.
 
Shida ni nini

Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
Bangi na ugoro. Ni hatari sana!

IMG-20260916-WA0008.jpg
 
Bora hata bangi, kuna wale wanaokula ugoro jamani ni nchi nzima plus wanaume karibu woote ni kubwia tu maugoro km bibi vizee wa zamaniiiii yani zamani sana maana wa siku hizi hawali ugoro
 
Hakuna cha Bora mkuu
MIHADARATI ni mbaya
 
Gen Z bangi wanavuta kweli kweli, wakati millennia bangi ilikua ni kitu cha ajabu na kuogopeka . Hawa Gen Z wamekuja kufanya ni kitu cha kawaida kabisa.

Hamna namna serikali nayo iaangalie bangi iwe kama sigara tu na sheria nyingine za mtu kakutwa na bangi anakulia nyundo 30 waiondoe atleast miaka 3-5
 
Harmful
 
Millenia wengi walivuta bushweed ila sahizi Madogo wanatembea na Skanka .
 
Back
Top Bottom