Vijana mnavuta Bangi kwa kasi sana

Hapa kuna wazinzi, walevi,waongo, wanafiki, wadhulumishi,

Lakini watumiaji wa bangi tunaonekana kama ndo tunakosea tu.

Nasema “"Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kunitupia jiwe.” 😎
 
Makasiriko + genye 😂😂
 
Alieathirika hajijui
Mkuu hapo unachokifanya ni kama kuja kunihadithia madhara ya Nuclear Weapon... Hujawahi kuitumia,kukudhuru ama kuexperience chochote kuihusu.

Kama furaha yako inaletwa na kusali focus huko huko...
 
Hapa kuna wazinzi, walevi,waongo, wanafiki, wadhulumishi,

Lakini watumiaji wa bangi tunaonekana kama ndo tunakosea tu.

Nasema “"Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kunitupia jiwe.” 😎
Lakini wewe unabeba tofali kabisa kumtupia shoga.

UNAFIKI wenyewe ndio huo.
 
Mkuu hapo unachokifanya ni kama kuja kunihadithia madhara ya Nuclear Weapon... Hujawahi kuitumia,kukudhuru ama kuexperience chochote kuihusu.
Ndio uhalisia huo mzee alieathirika na Bangi hajijui,
Kama furaha yako inaletwa na kusali focus huko huko...
wapi nimesema furaha yangu inaletwa na kusali?

Vipi umeshamoka nini😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…