Vijana mnavuta Bangi kwa kasi sana

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wanaolinda ****** walinde, wanaolinda mapafu na maini walinde, wanaolinda figo na bandama walinde.

Kila mtu alinde anachoona kina umuhimu kwake.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sahihi 100%
 
Msongo wa mawazo unaotokana na umaskini, kukosa msaada pale wanapopata changamoto mbalimbali hivyo bangi imekua kama sehemu ya faraja kwao.
 
Sasa kama tumaini lenyewe limebakia ni Bodaboda Kila sehemu wamepigwa pin,kwanini wasile ganja nyingi na makali kupooza ubongo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ