Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Ona hili shoga linatetea uchafu, usikute liliharibiwa kwenye Sunday school
 
Wenye Dini yao huko Vatican wamesema waachwe kwani wote ni watoto wa Mungu ila nyie Wamatumbi mnajifanya mna hasira sana na hamjui kua wanafungishwa na ndoa huko?
exactly, kwenye dini ya hao wenzetu huo uchafu kwao Ni ruksa,siunaona hata yule padri Chuo alikuwa anajipigia watoto wa waumini,na wenyewe walivyo matahila ya akili yakawa yanamtetea eti kulinda hadhi ya imani yao
 
Elimu itolewe,kama athari za misuli kulegea zinatokea,walajib Na waliwaji,wapewe elimu,ili waache toka moyoni.
 
Kuna ushoga wa kuzaliwa na ushoga wa kujifunza. Siyo mashoga wote wamejifunza, kuna wanaozaliwa na hali ile. Umeshasikia au hata kuona watu wanaoonekana ni wanawake kabisa lakini wanakuwa na ''kajinsia'' ka kiume?
Hakuna ushoga wa kuzaliwa. Kuna mwanaume na mwanamke ikitokea ukazaliwa na jinsia mbili kibiolojia hiyo ndo itilafu ila si ushoga. Na hurekebishwa kwa operation maalum kitabibu kwa kupima gender ambayo ipo active.

HAKUNA UUMBAJI NDANI YA TUMBO LA MWANAMKE ULITENGENEZA BINADAMU AMBAYE ATAFANYA NGONO KUPITIA AJA KUBWA, HATA WANYAMA HAWANA. KWAMBA MTU ALIZALIWA AKIWA NA UUME ILA KIASILI NJIA YA HAJA KUBWA NDO INATAKIWA ITUMIKE KATIKA NGONO? HAPANA HAKUNA.
 
Huna ufahamu wa haya mambo kwa hiyo bora ukae kimya. Kuna watu wanazaliwa na hormones za jinsia tofauti na miili yao. Unakuta mtu ni mwanamke kimwili lakini ni kihisia ni mwanaume. Hili lipo kitaalama na siyo jambo la kubishana.
 
Mbona hata majibu yako hapo juu yanaonyesha wewe sio shoga

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Whenever i see your posts.... namkumbuka GiLEsi mwenye wowowo la kutikisika hadi kumshinda control...

Allah aturehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…