Flexibility kisa kukeshaNina uzoefu so sio propaganda, mara ya kwanza is very consuming but as time goes I nashuka!
E:g Mimi naweza Anza kazi saa 4 usiku mpaka 8, then nalala, Kesho naamka saa 5, then free, mfanyakazi hayupo flexible!
Daah hongera sana mkuu, kuajiriwa mi nakulia timing tu, huku sio mmhkuna kipindi ,mwaka jana nilipata hasara kubwa sana ilibaki kidogo nishikwe na depression, nikaanza hata kuwaza wenzangu walioajiriwa pengine wana amani kuliko mimi, japo sasa hivi nimerudi vizuri
Unamaanisha nini mkuu?Ndo mana nikiwaona watu wanaoponda ajira za watu nawacheki afu nasema hiiiihiiiiii
Mwanzo mgumu,utakaa sawa utaona matunda ya huo ugumu wa mwanzo.umeongea kweli tupu ambayo watu wengi hawaujui, mimi nimejiajiri baada ya kutoka kaujiriwa miaka 2 iliyopita.
Asikudanganye mtu kujiajiri ni headache moja kubwa sana, unakuwa under pressure kubwa sababu mambo yakienda mrama hasara yote unaibeba wewe tofauti na ulivyokuwa umeajiriwa
unatengeneza pesa lakini kuna saa hata unakosa hata muda wa kutumia hiyo hela sababu ya pressure na stress za kazi yako, hakuna kitu kirahisi kabisa duniani
mwaka jana nilipata hasara kubwa sana kidogo nishikwe na depression
Muhimu ni kufurahia unachofanya na si watu wanasema nini. Wapo waajiriwa pia ambao wanaponda waliojiajiri kuwa wasiwababaishe na vibanda vyao m-pesa.Ndo mana nikiwaona watu wanaoponda ajira za watu nawacheki afu nasema hiiiihiiiiii
Mwanzo mgumu.Ni kweli kaka, na mm ni muhanga wa hyo mishe ya kujiajiri. Yaani kuna stress Sana, na ndio naanza,
Hapo sasa mtu anachoonga kajiajiri ooh nipo huru kumbe kamisheni yake ya M PESA ya laki 7 kwa mwezi wakati mwenzie net take home yake milion mbili na laki tatu.Muhimu ni kufurahia unachofanya na si watu wanasema nini. Wapo waajiriwa pia ambao wanaponda waliojiajiri kuwa wasiwababaishe na vibanda vyao m-pesa.
Flexibility kati ya mwajiriwa na aliejiajiri ni tofauti. Ukiajiriwa unapangiwa(unaweza kuweka hii kinamna ingine)Flexibility kisa kukesha
Wanaokesha maofisini hadi sa6 unadhani kesho yake wanakuja sa 2 asbh?.,
Unaweza ingia sa 5 vilevile esp kwa siku ambazo mmetoka kuclear deadline ya kimeo fulani muhimu mfano Year end issues
Ha ha ha na unaweza kukuta huyu anaemcheka mwenye kibanda cha mpesa yeye ana take home 450,000/- mwenzie mpesa anatengeneza 1m! Tuheshimiane tu.Hapo sasa mtu anachoonga kajiajiri ooh nipo huru kumbe kamisheni yake ya M PESA ya laki 7 kwa mwezi wakati mwenzie net take home yake milion mbili na laki tatu.
Kila mtu afanye kile anapenda tusifokeane
Nilikuwa napita, nikaona username yako nikasema lazima nione mchango wakoHa ha ha na unaweza kukuta huyu anaemcheka mwenye kibanda cha mpesa yeye ana take home 450,000/- mwenzie mpesa anatengeneza 1m! Tuheshimiane tu.
Sahihi kabisa mkuu...The thing ni kwamba binadamu anaishi mara moja anakufa so kila mtu afanye anachoona ni sahihi bila kuenda kinyume na nature.
Mkuu, sijaongelea uoga wa kujiajiri bali nidhamu ya kazi...Well na kama kila mtu angekuwa muoga kuanzisha biashara basi taasisi binafsi zisingekuwepo na watu wanaopenda kuajiriwa wasingepata ajira.
True story.,Muhimu ni kufurahia unachofanya na si watu wanasema nini. Wapo waajiriwa pia ambao wanaponda waliojiajiri kuwa wasiwababaishe na vibanda vyao m-pesa.
Kuna baadhi ya ajira ni bora kuliko kujiajiriUnamaanisha nini mkuu?
AIsee 😂Sawa kaka mi leo mwenyewe nimeamua kulala tu hapa sijaenda hata shambani, na kuna kazi ya kupalilia, nitaendelea nayo kesho bwana.
Kwenye ajira labda pawepo michongo nje ya hapo ni utumwa wa makinikiaKuna baadhi ya ajira ni bora kuliko kujiajiri
Basi hujakutana na well paying jobs na unakua hubanwi sana pia, huwezi linganisha huyo mtu na mmachinga.,Kwenye ajira labda pawepo michongo nje ya hapo ni utumwa wa makinikia
Unatengeneza mfumo ambao wafanyakazi wataufuataUkifika stage ya kuajiri watu unaweza relax kwanini mkuu? Huu ndio mwanzo wa kupigwa changa la macho alafu baadaye mtu anaanza kulalamika humu JF.