Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Nina uzoefu so sio propaganda, mara ya kwanza is very consuming but as time goes I nashuka!

E:g Mimi naweza Anza kazi saa 4 usiku mpaka 8, then nalala, Kesho naamka saa 5, then free, mfanyakazi hayupo flexible!
Flexibility kisa kukesha
Wanaokesha maofisini hadi sa6 unadhani kesho yake wanakuja sa 2 asbh?.,
Unaweza ingia sa 5 vilevile esp kwa siku ambazo mmetoka kuclear deadline ya kimeo fulani muhimu mfano Year end issues
 
umeongea kweli tupu ambayo watu wengi hawaujui, mimi nimejiajiri baada ya kutoka kaujiriwa miaka 2 iliyopita.
Asikudanganye mtu kujiajiri ni headache moja kubwa sana, unakuwa under pressure kubwa sababu mambo yakienda mrama hasara yote unaibeba wewe tofauti na ulivyokuwa umeajiriwa
unatengeneza pesa lakini kuna saa hata unakosa hata muda wa kutumia hiyo hela sababu ya pressure na stress za kazi yako, hakuna kitu kirahisi kabisa duniani
mwaka jana nilipata hasara kubwa sana kidogo nishikwe na depression
Mwanzo mgumu,utakaa sawa utaona matunda ya huo ugumu wa mwanzo.
 
Muhimu ni kufurahia unachofanya na si watu wanasema nini. Wapo waajiriwa pia ambao wanaponda waliojiajiri kuwa wasiwababaishe na vibanda vyao m-pesa.
Hapo sasa mtu anachoonga kajiajiri ooh nipo huru kumbe kamisheni yake ya M PESA ya laki 7 kwa mwezi wakati mwenzie net take home yake milion mbili na laki tatu.

Kila mtu afanye kile anapenda tusifokeane
 
Flexibility kisa kukesha
Wanaokesha maofisini hadi sa6 unadhani kesho yake wanakuja sa 2 asbh?.,
Unaweza ingia sa 5 vilevile esp kwa siku ambazo mmetoka kuclear deadline ya kimeo fulani muhimu mfano Year end issues
Flexibility kati ya mwajiriwa na aliejiajiri ni tofauti. Ukiajiriwa unapangiwa(unaweza kuweka hii kinamna ingine)

Mkataba wako utasema kazini ni Monday to Friday 9-5(mfano) na inabidi ufanye kazi kwa utaratibu huu kubadilika ni kwa ruhusa sio wewe kuamua.

Aliejiajiri anajipangia aingie saa ngapi,atoke saa ngapi na anaweza kuamua leo siingii kazini.
Mimi wakati nimeanza kujiajiri nilikuwa saa moja kamili niko ofisini baadae nikasoma ramani nikawa naingia saa mbili,sasa hivi naingia saa tatu au nne.

Kila katikati ya wiki nimejiwekea off siku moja. Vile vile kuna wiki naamua nifanye kazi from home wiki nzima na hamna kinachoharibika.

Ningekuwa ni mtu sipendi kujituma ningekaa tu home na laptop na simu na kuagiza watu.
 
Hapo sasa mtu anachoonga kajiajiri ooh nipo huru kumbe kamisheni yake ya M PESA ya laki 7 kwa mwezi wakati mwenzie net take home yake milion mbili na laki tatu.

Kila mtu afanye kile anapenda tusifokeane
Ha ha ha na unaweza kukuta huyu anaemcheka mwenye kibanda cha mpesa yeye ana take home 450,000/- mwenzie mpesa anatengeneza 1m! Tuheshimiane tu.
 
Ha ha ha na unaweza kukuta huyu anaemcheka mwenye kibanda cha mpesa yeye ana take home 450,000/- mwenzie mpesa anatengeneza 1m! Tuheshimiane tu.
Nilikuwa napita, nikaona username yako nikasema lazima nione mchango wako
 
The thing ni kwamba binadamu anaishi mara moja anakufa so kila mtu afanye anachoona ni sahihi bila kuenda kinyume na nature.

Well na kama kila mtu angekuwa muoga kuanzisha biashara basi taasisi binafsi zisingekuwepo na watu wanaopenda kuajiriwa wasingepata ajira.

Na pia hakuna umuhimu wa kuwepo duniani kama ukiwa muoga wa changamoto.
Dawa ya changamoto ni kupambana nazo na sio kuzikimbia.
 
Well na kama kila mtu angekuwa muoga kuanzisha biashara basi taasisi binafsi zisingekuwepo na watu wanaopenda kuajiriwa wasingepata ajira.
Mkuu, sijaongelea uoga wa kujiajiri bali nidhamu ya kazi...
 
Muhimu ni kufurahia unachofanya na si watu wanasema nini. Wapo waajiriwa pia ambao wanaponda waliojiajiri kuwa wasiwababaishe na vibanda vyao m-pesa.
True story.,
Inabidi uangalie wapi utawin zaidi usikurupuke
 
(kujiajiri ) huo mziki ni balaa wengi Huwa wanalishana matango pori tu wakidhani kuwa kujiajiri ni kazi rahisi ..yaani hakuna issue yenye challenge kama hiyo kwanza itakupasa wakati unaanzisha biaaharayalo au kampuni yako uipiganie mpaka ikue ..mpaka ifikie hatua ya kujiendesha yenyewe na kuyaendesha maisha yako aisee ni kazi kubwa sana you need to pull Up your socks.. Yaani yakupasa ujiandae kuvuja machozi jasho na damu ..uinvest vyema haswaa katika muda ..na ujiandae kuwa unakosa usingizi kwaajili ya stress ndio utakuja kuyapata mafanikio na kuitwa boss
 
Kwenye ajira labda pawepo michongo nje ya hapo ni utumwa wa makinikia
Basi hujakutana na well paying jobs na unakua hubanwi sana pia, huwezi linganisha huyo mtu na mmachinga.,
Tujue kutofautisherrr
 
Back
Top Bottom