Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

ni uroho tu unawasumbua wanajifanya kupombana ili eti waje wapewe madaraka hivi kama mdude hata kama chadema ingeshinda angeewa cheo gani na ile akili mgando aliyonayo? ujinga tu sasa anafanay ndugu wahangaike kumtafuta
 
Muhuni makini anajua limit yake..Sasa uyo mdude yeye alikuwa hazingatii Hilo...anaowapigania,,wakishapiga BAO tatu kwa wake zao..wanaenda kuwa keyboard warriors tweeter na JF,,so disgusting
 
Chawa na keyboard warrior wote takataka tu hamna jipya sababu mtu akiona uchawa haulipi anaamia kuwa keyboard warrior mwingine akishapata nafasi ya kuwa chawa anaacha kuwa keyboard warrior hahahaha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Basi jipigie makofi mwenyewe
 
Uchwara mama yako na baba yako Mazezeta waliozaa ***** kama wewe , kum@ we
 

Hata Nelson Mandela aliitwa mwanaharakati uchwara.

Sisi binadamu wengi tunaangalia karibu mno. Hatujui thamani ya kuacha something lasting in our lives.

Inawezekana huyu anayedhalilishwa leo, kesho ambayo wewe na mimi hatuna mamlaka nayo, akaitwa shujaa mkubwa.

Kwenye haya maisha hakuna kitu permanent. Mambo yaja na kwenda. Hata haya ya sasa yanaenda tena kwa haraka.

Tukishakaa pembeni, wengine watayatazama tunauofanya na kuamua.

Dhahiri, shali, hakuna mwenye nguvu hizo za kuangamiza kizazi cha mtu

Nionyeshe mmoja nicheke kwa dharau, maana hana huo uwezo
 
๐Ÿคฃ๐ŸคฃHuyo ni CHADEMA wale wanajifanya conscious ,alishawahi kusema hana muda mrefu atapotezwa na kweli yakatokea..Kuna video inaonesha huko kwao wanalia mpaka bibi yake ,walikuwa wanamtegemea...Ilinipa huzuni sana.
Duh ni huzuni sizan kama ni mzma.
 
Kabisa kwa nn wasiende kwa walimwengu ..wachawi,waabudu mizimu au wakamuomba Mungu kwa kunuia awaondoe kimya kimya ..lakini hii ya kujitoa fahamu kama mwendawazimu unabweka mbele ya boss wako unategemea ufanywe nn kama sio hayo yananayotokea .watu wajitafakarii
 
Maisha sio Africa aisee unauliwa mchana kweupe na watu hawana habari.
Hivi unadhani Ulaya wamefikia hapo walipo kwa kukaa kimya? Kwa mfano Finland miaka 100+ walipigana vita vya wenyewe kwa wenyewe sababu kuna kundi la elite na middle class walikuwa wananeemeka na keki ya taifa huku wengi wakiwa maskini. Watu zaidi ya elfu 36 walipoteza maisha. Mpaka sasa ni nchi yenye furaha duniani. Wametoka mbali.
 
Wala Nchi mmepaniki mmenusa hatari vitumbua vyenu vimeanza kuingia mchanga watanzania wameanza kujitambua pumbafuuuu!!
 
Tuuweni wote
 
๐Ÿ–•๐Ÿฟ๐Ÿ–•๐Ÿฟ๐Ÿ–•๐Ÿฟ๐Ÿ–•๐ŸฟKichwani kwako kumejaa mavi na syo akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ