Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

Akina mandela, desmond tutu, akina nyerere na wengineo, wangekuwa na hizi mindset wangegeuka kuwa chawa wa mkoloni.

If mkoloni angewakuta nyie, nchi ingechelewa kupata uhuru sana
 
Hivi soka ajapatikana mpaka sasa na alipotezwa kwa issue gan?
 
Tena tanzania kama hujakutwa kwenye kiroba ufukweni basi maiti Yako haitaonekana
Kabisa mkuu alaf ss kwa maisha niliyoyaona kwa Mtandao maude angefocus kujitengeneza kimaisha . aisee unakufa hivi hivi hata urithi wa kueleweka kwa mwanao huachi ..haoni wenzie kina Bon Sugu na viongozi wengine wako mambo safi haya yeye kajipangaje hata kama leo akaondoshwa..kuna watu ni ma kibodi woriaz wanamjaza upepo anajaa kwenye mfumo mwisho wa siku anaeisoma namba ni yeye familia yake inaitika onhoo
 
Hakika utakufa
 
Hivi soka ajapatikana mpaka sasa na alipotezwa kwa issue gan?
🤣🤣Huyo ni CHADEMA wale wanajifanya conscious ,alishawahi kusema hana muda mrefu atapotezwa na kweli yakatokea..Kuna video inaonesha huko kwao wanalia mpaka bibi yake ,walikuwa wanamtegemea...Ilinipa huzuni sana.
 
Kuna wajinga wanaomfuata pm wanamjaza maneno na yeye masikini wa mungu analopoka aisee kisa majinga Fulani keyboard warrior yanampamba
 
Maisha gani hivi wewe duniani umezaliwa mwenyewe baada ujipambanie wewe na familia yako unaanza kuhangaika na serikali ambapo uhalisia unaujua kwamba majamaa yameshikilia mpini wewe umeshika ukali
Bongo wanaacha kufanya ugunduzi kazi kukimbizana na serikali.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…